Ukimkuta mtanzania anaitetea CCM ujue anakula na kuishi CCM, ila ukimkuta mpinzani anatetea haki na hali Upinzani.

Si kweli......naisifia CCM kulingana na kazi zinazofanyika na serikali.....Hilo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…