Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

Wanawake bikra wapo mkuu. Labda hofu ni kwako
 
Dunia ya leo ni wapi utamkuta binti ana umri wa 20+ ana bikra?!

Kwa mawazo haya nyie ndio mnaotuharibia ma'uncle zetu wa kike na kuwapa ujauzito wakiwa bado watoto hawajatimiza hata miaka kumi na mbili. Acha upuuzi
 
Tulia mkuu, Usipanick bikra zipo nyingi usitake kutuaminisha na kauli ya dunia ya leo ni ngumu kupata.
 
Wengine tumeoa wanawake wanawatoto, sasa hao si watakuwa wanakumbushia kwa wazazi wenzao? Pevuka dogo utakuwa bado unavyonya. Mapenzi ni mapenzi hakuna cha kustaajabisha kama ana bikra ama kazaa. Kuchepuka ni tabia ya mtu mmoja mmoja, sio wote.
 
Tulia mkuu, Usipanick bikra zipo nyingi usitake kutuaminisha na kauli ya dunia ya leo ni ngumu kupata.
Kuwa uyaone mdogo wangu maana nisibishane na wewe na wakati hata haujafika wakati wa kupata huyo mwenza. Utaja nipa majibu siku we ngoja.
 
Hata wewe lazima uwe bikila nawe usiaminike kama huna?
 
Bas nas tuseme hivi, ukimkuta mwanaume si bikra tegemea kusalitiwa kwenye ndoa
Iweje utake mkeo awe bikra halafu wewe usiwe?
 
Bas nas tuseme hivi, ukimkuta mwanaume si bikra tegemea kusalitiwa kwenye ndoa
Iweje utake mkeo awe bikra halafu wewe usiwe?
 
Kuna uwezekano mkubwa wa kutosalitiwa ni 1/10.
Siyo fikra hasi mkuu ndio ukweli ulivyo!!

We jidanganye labda unazungumzia nyani au sokwe lakini kama ni binadamu unajidanganya watu walioa maklbikira kwa mbwembwe na hatimaye mke anakuja kulala na kaka wa Mme tumbo moja. Inaelekea u Kijana ukikua mbona utaona mengi. Sababu inayomfanya mke kucheat si bikra Bali jinsi utakavyompenda mtunza na kumheshimu. Akikosa kimoja wapo akatoka nje anakutana na mwanaume anampa cares anamsifia akikumbuka Mme ni gubu hana matunzo mbona atakusahau tu hata kama ulimtoa bikira. Ukumbuke tu binadamu huwa tunasahau sana
 
Unaweza kumuoa bikra ila siku ya siku anakusaliti Na unaweza mpata sie bikra akatulia niulize je wewe bikra??? Maana usitake bikra kumbe wewe used
 
Kweli mkuu...tena ukioa mwanamke sio bikira basi elewa unaishi na mpenzi wa mtu.....mimi kuna demu mmoja niibahatika kumtoa bikira..alishanambiya kuna siku mwalimu wao wa kike aliwaambiya ,, mwanaume aliyekutoa bikira ndy mumeo..wengine wote wapita njia tu...
 
Wanawake hawatabiriki, bikra si kipimo cha uaminifu. Kugawa papuchi ni hulka ya mtu. Kuna mwingine hata umpe nini atakazwa tu nje.
 
We ushadanganywa huyo ni nyoka ipo siku atakumbuka porini kwake
Hahahah ni kweli nimeshakuwa na wanawake wasaliti mbaya ila wengine hawakuwa wasaliti. Weakness zipo tofauti ingawa tabia ya usaliti ndio sana siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…