mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
"kikawaida ukioa mwanamke ambaye siyo bikra basi ujue kabisa umeoa mke wa mtu"[HASHTAG]#period[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake bikra wapo mkuu. Labda hofu ni kwakoHivi we jamaa unaishi dunia ipi?huyo mwanamke bikra utampata wapi miaka hii,unawatakia watu kwenda jail kwa kutaka kutekeleza huu ushauri wako maana karne hii hasa bongo wenye bikra ni under 10 sometimes kwa kubahatisha!sasa ukamatwe na kibint umri huo umejifungia ndani unakitomasa hujaenda kula ugali keko?acha utani bwana ushauri wako huu hau-apply dunia hii kwa sasa.
Tulia mkuu, Usipanick bikra zipo nyingi usitake kutuaminisha na kauli ya dunia ya leo ni ngumu kupata.Dunia ya leo ni wapi utamkuta binti ana umri wa 20+ ana bikra?!
Kwa mawazo haya nyie ndio mnaotuharibia ma'uncle zetu wa kike na kuwapa ujauzito wakiwa bado watoto hawajatimiza hata miaka kumi na mbili. Acha upuuzi
Kuwa uyaone mdogo wangu maana nisibishane na wewe na wakati hata haujafika wakati wa kupata huyo mwenza. Utaja nipa majibu siku we ngoja.Tulia mkuu, Usipanick bikra zipo nyingi usitake kutuaminisha na kauli ya dunia ya leo ni ngumu kupata.
Kuna uwezekano mkubwa wa kutosalitiwa ni 1/10.
Siyo fikra hasi mkuu ndio ukweli ulivyo!!
Kuna uwezekano mkubwa wa kutosalitiwa ni 1/10.
Siyo fikra hasi mkuu ndio ukweli ulivyo!!
We ushadanganywa huyo ni nyoka ipo siku atakumbuka porini kwakeHeheheh sio wote wasaliti...change your mindset
Hahahah ni kweli nimeshakuwa na wanawake wasaliti mbaya ila wengine hawakuwa wasaliti. Weakness zipo tofauti ingawa tabia ya usaliti ndio sana siku hizi.We ushadanganywa huyo ni nyoka ipo siku atakumbuka porini kwake