Uko sawa kwa mtazamo wangu!Kama mwanaume hujawahi ku -sex na ukamkuta mwanamke sio bikira achana nae kwani atakusaliti, lakini wewe umeshacheza na ukamkuta sio bikira ni size yako kwani mmekutana wezi wa aina moja . Na kama umeshacheza ukamkuta bikira tubu na mchukue ni mchumba wako na usitoke nje kamwe. Ni zawadi kutoka juu
Maaan lazima aonjeee ladha nyingine, kama mla ice cream vileUkimkuta ni bikra na ukamuamini umepunguza siku za kuishi
Ww umegundua kituMaaan lazima aonjeee ladha nyingine, kama mla ice cream vile
Aione kwenye jaladaCc Mrs Van
Ni khweri yako wewe unayewaza hivyo lakini siku ukija mfumania mkeo na lijamaa lililo mtoa bikra usije kutuletea mapovu yako humu.Hizo mbwembwe tu..unakuta limtu limetoboa vitoto vya watu..halafu likitaka kuoa linataka bikra..ukitaka bikra na wewe uwe bikra..au kama vipi mfuate demu wako wa kwanza kabisa kukufanya uwe mwanaume umuoe..mapenzi ya dhati yanatoka moyoni sio kwenye k...
Nadhalia tu..aliwazalo mjinga ndio litalo mtokea..Ni khweri yako wewe unayewaza hivyo lakini siku ukija mfumania mkeo na lijamaa lililo mtoa bikra usije kutuletea mapovu yako humu.
Sikia la wakuu usije vunjika guu