Ukimkuta mwanamke si bikra usimuamini hata kidogo

Mimi mwanamke atakaye kula mahari Yangu ni yule ntakae mkuta na bikra kwahiyo bado naendelea kusachi.
 
Ni kweli kabisa. Nilipotangaza vita na mke wangu malaya mtu mmoja kwenye kikao alisema kwani ulimkuta bikra akimaanisha niache kumfuatilia nilinyamaza kimya...sasa mambo ni sizzling
 
na wewe pia si unakutwa bila govu? labda mkuu ukitaka bikra ukapande mgomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…