Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaakili sana wewe...Kwa hiyo unataka tusiamini wake zetu?
Sasa utamjuaje kua ni bikra ama sio bimra kama hujaoa ukatembea nae.Salam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.
Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
Umeuaaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na ukimkuta bikra basis ujue anatoa tigo
Unadhambi ww...Kweli mkuu...tena ukioa mwanamke sio bikira basi elewa unaishi na mpenzi wa mtu.....mimi kuna demu mmoja niibahatika kumtoa bikira..alishanambiya kuna siku mwalimu wao wa kike aliwaambiya ,, mwanaume aliyekutoa bikira ndy mumeo..wengine wote wapita njia tu...
HA! HA! HA!Zingine zinatoka kwa basker mkuu we mwamin tu
Je wewe bikra yako kaitoa naniSalam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.
Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
Duh! Huwatakii mema wanawake.Salam
Pindi unapoanzisha mahusiano na mwanamke na hatimaye kufunga ndoa, mbaya ukamkuta si bikra, basi hesabia maumivu katika ndoa yako, muda wowote unaweza salitiwa.
Atakusaliti ama kwa yule aliye mtoa bikra ama kwa Yeyote yule.
Kuwa makini mwanaume usikute unaibiwa hapo ulipo. Epuka ndoa na Mwanamke wa hivyo.
Kua na akili ww.Duh! Huwatakii mema wanawake.
Kwamfano ukimkuta binti wa watu katulia hata tabu na mtuماشاء الله pia usimuamini kisa hana bikra? Acha uchochezi na upotoshaji dhidi ya wanawake, mwanamke kukusaliti ni kutaka yeye mwenyewe au kuwa ni tabia yake. Wengine tumeshaoa na hatukuwakuta nazo na tayari tuna watoto, je tuwaache kisa hatukuwakuta nazo?[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]