Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Nakuelewa sana mkuu, najutia sana kuwekeza muda na pesa zangu kwake yn najuta mno mpaka nakuwa mvivu kumove on hasa akijirud
Pesa ni nini? Shukuru Mungu uliweza kufanya ulivyoweza. Hata wewe huenda kuna watu wanajuta kwamba uliwaingiza mkenge whether kwa kujua au kutojua. Kila mtu ana positive side na negative side - wakati mwingine upande mmoja unaweza kuwa juu, na wakati mwingine kuwa chini na ndivyo maisha yetu yalivyo. Don't regret, use it as an opportunity kusonga mbele. Don't be stuck at that!
 
Naomba niseme machache yaliyonikuta japo kwa ufupi ila ndefu kdg ili mnielewe kwa wale watakaoweza kusoma.

Mwaka flan niliwahi kukutana na single mother ambaye jamaa aliyempa mimba alimkataa mtoto tangu akiwa tumboni, So binti aka-move on.

Tukiwa tupo mtaa mmoja Tukaanzisha mahusiano wakati ambapo mtoto ana kama mwaka hv na mambo yalienda vzr, jamaa akawa anakuja kwa demu kumuona mtoto na kwel dogo amefanana na jamaa, na mara nyingi jamaa alikuwa anakuja usiku hvy siku nikitaka kwenda kwa demu halafu kama jamaa yupo bc demu ananiambia yupo na mgeni Then Mm napotezea nilikuwa sifatilii ila nikaja kujua kuwa jamaa hua anakwenda kwa demu ila n mara chache maybe kwa mwezi mara tatu, nikapotezea tuu mana najua wale wamezama wote na kwa maelezo ya demu n hawajawahi kusex.

Kuna kipindi nilifukuzwa kazin kutokana na kupishana kauli na boss wangu, so mambo yangu yalienda vibaya mno.
Ila bado nilikuwa nikimtimizia mahitaji yake yule demu japokuwa tulikuwa hatuishi pamoja, kipindi fulani akataka kuhama kwenda kuishi mtaa mwngn nkatoa pesa ili kukamilisha yeye kuondoka mtaa ule huku tukiwekeana ahadi kuwa baada ya yeye kuondoka bc tutaenda kuishi wote hapo So mm nilimuamini na nkatoa kodi ya mwaka mzima pamoja na kununua baadhi ya vitu vya ndani yn zaidi ya 60% ya vitu ndani nilinunua kwa pesa yangu + kodi ya mwaka mzima (hapo bado sina kazi hvy nlkuwa natumia akiba yangu niliyokuwa nayo wakati nafanya kazi)

Pamoja na hayo pia aliniomba nimfungulie biashara ila nilimwambia asubiri mana nmetumia pesa nyingi kwake na pia kuna pesa niliwekeza mahali So kwa kipindi kile sikuwa na pesa kabisa na hiyo biashara ilikufa nikiwa sijaingiza ht mia kama faida. So kuhusu kumfungulia biashara ikashindikana kwa wakati ule ila nilimuahidi kumfungulia hy biashara.

Akiwa tayari amehamia kwenye hayo makazi mapya ndipo mambo yalipoanza kuvurugika zaidi, kugombana nae ilikuwa n kila siku, kunitukana matusi makubwa mno, kunidharau na kila aina ya mabaya alinifanyia ila mm nilikuwa nikimvumilia mana sikutaka kuanzisha mahusiano na mwanamke mwngn mana binafsi hua n mgumu sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake na ndio mana sina idadi kubwa ya wanawake waliowahi kuwa nao kwenye mahusiano nadhani hawafikii hata wanawake nane ambao nshawahi kuwa nao.

Tukigombana anakaa siku kadhaa anarudi kuniomba msamaha (bado tulikuwa hatuishi pamoja) Then maisha ya yaendelea na sema ukweli tukiwa sawa hua tunaishi vzr kiasi kwamba unasema huyu ndie mwanamke wa kuoa.
Kilichofanya nisiishi nae n kwa sababu kipindi hicho sikuwa na pesa hvy nilikuwa nawaza sana nikiishi nae nitamlisha nini na huyo mwanae so ni bora nisiishi nae ili akipewa pesa ya matumizi na huyo aliyezaa nae bc iweze kumtosha yeye na mwanae kuliko na mm niwepo hapo niwe nategemea kula hy pesa ya huyo mwanaume mwngn na pia Mm nlkuwa nikitoka kupambana huko nilikuwa nikimpatia pesa ya matumizi japokuwa sio kila siku. Lkn huyo mwanamke bado akawa ananidharau mno na kila siku tulikuwa tukigombana kwa sababu za kijinga tuu ambazo yeye ndie ameanzisha.

Kumbe huku nyuma mzee mwenye nyumba alitaka kurekebisha mikataba kutokana na kutaka kwenda kukopa pesa benki hvy pale kwenye jina langu kwenye mkataba demu aliondoa jina langu na kuweka lake kwamba yeye ndie mwenye chumba. Hilo pia nilinyamaza na sikutaka kupigiana kelele nae mana kwa kiasi fulani nilianza kuchoka kuwa nae mana kila siku alikuwa mtu wa kunisababishia stress. Mpaka ikafika wakati akanipiga marufuku kukanyaga pale anapoishi.

Kuna siku tukiwa nae nikaanzisha story kuwa nlishawahi kumuona akiingia gest na mwanaume (nilifanya utani ila nikiwa na sura ya serious) bahati nzuri au mbaya akakubali n kweli aliwahi kutoka na mwanaume na walitumia kinga na alifanya hvy kwa sababu hakuwa na jinsi ya kufanya mana hakuwa na pesa ya kuendesha maisha yake mana Mm kwa kipind hicho sikuwa na kazi pia yule aliyezaa nae alikuwa akimzungua kumpa pesa ya matumizi, hii kitu iliniuma sana ila nikapotezea. Na kutokana na mambo yake najua kuna wanaume wengi ametoka naye ila nimenyamaza.

Nashukuru mungu kuna mahali nilipata kazi japokuwa mshahara mdogo lkn nashukuru Mungu mambo yangu yalikuwa yakienda, na yule demu bado nilikuwa naye japokuwa sio kuishi nae, so alikuwa anakuja kwangu anakaa siku kadhaa huku mtoto akiwa kwa dada yake Then anarudi kumchukua mwanae na siku nyingine nlkuwa nikienda kwa demu.

Tuliendelea kuishi hvy hvy kwa kugombana na kurudiana na hayo yote n yeye alikuwa akiyaanzisha yn ugomvi pamoja na mapatano, Mm nilikuwa mpole wakati wote mana sikutaka kuwa na mahusiano mngn zaidi yake tuu.

Kuna siku akaomba nimuanzishie biashara na akapiga hesabu ya kiasi kinachohitajika kwenye hiyo biashara na nikamjibu sawa napambana kupata hiyo pesa, ila dah nawaza kama huyu huyu ndie amekuwa mwiba kwenye maisha yangu kwamba nilitumia kiasi kikubwa cha pesa ili kumfurahisha wakati ambao Mm sina kazi na akalipa kwa kunionyesha dharau na matusi juu halafu huyu huyu tena nimuanzishie biashara si mambo yatakuwa yale yale ataweza kunifukuza hata hapo kwenye biashara niliyomfungulia mwnyw, nikaona hii hapana siwez kumfungulia biashara hvy ngoja ninyamaze niendelee kusikiliza kelele zake za kutaka kumfungulia biashara.

Ndugu zangu, pesa ambazo nmetumia kwa huyo single mother nngesema nijiajiri hakika nngepiga hatua kubwa kwenye maisha yangu ila nilifanya hayo kwake ili kumfurahisha mana nilimuamini ila bado akaniumiza.

Mpaka muda huu bado nipo nae ila kwa kweli sioni future nae mana kila wakati mm na yeye n kugombana tuu, sasa kama mtu hawezi kuwa mwaminifu sasa hv je atakuwa mwaminifu tukiwa kwenye ndoa! Hilo n hapana.
Japokuwa inaniumiza kuachana nae ila ni bora iwe sasa kuliko huko mbele itakavyokuwa nikiwa nitaendelea kulazimisha kuwa nae.

Someone once said 'if you get on the wrong train, be sure to get off at the first stop. The longer you stay on, the more expensive the return trip is going to cost you'

They weren't talking about trains 😎
Kwahiyo unasubiri nini kuachana naye mkuu?
 
Mawazo ya wanaume wengi ni kwamba wake zao wanawakatalia sex. Baadhi yao wadhani yeye akitaka tu (mfano muda huu) na mke wake inabidi atake pia, la sivyo kutakuwa na vurugu. Mke wake akisema hajisikii, mume wake anadhani anachukuliwa na watu wengine. Someni 'psychology' ya watu mjue haya mambo yanaweza kufanyika muda gani na mnatakiwa muweje. Nina idea ya mambo haya kwa sababu huwa nafanya 'counselling' albeit informally. Baadhi ya watu wananishirikisha mambo yao na tatizo kubwa ni 'misunderstandings' katika ndoa: mume anataka na mke wake hayuko tayari muda huo. Wanaume wengine huwabaka wake zao kwa sababu ya kukosa subira au kutokuwa wastaarabu (bado ni primitive).
Mkuu humu utajisumbua kueleza baadhi ya wachangiaji hawajielewi they are empty and toxic na wengi wamepitia maisha magumu au malezi mabovu. Mtu anaandika vitu mpaka unamuonea huruma mtu ambaye ana uhusiano naye.
 
Hii kitu ni halisi sana. Mwanaume usijisahau, usiruhusu mwanamke akuangushe kama kule bustani ya eden.

Ongoza, na ongonzwa na Mungu, usiongozwe na mwanamke, ndio maana ya kuwa kichwa.
 
Naomba niseme machache yaliyonikuta japo kwa ufupi ila ndefu kdg ili mnielewe kwa wale watakaoweza kusoma.

Mwaka flan niliwahi kukutana na single mother ambaye jamaa aliyempa mimba alimkataa mtoto tangu akiwa tumboni, So binti aka-move on.

Tukiwa tupo mtaa mmoja Tukaanzisha mahusiano wakati ambapo mtoto ana kama mwaka hv na mambo yalienda vzr, jamaa akawa anakuja kwa demu kumuona mtoto na kwel dogo amefanana na jamaa, na mara nyingi jamaa alikuwa anakuja usiku hvy siku nikitaka kwenda kwa demu halafu kama jamaa yupo bc demu ananiambia yupo na mgeni Then Mm napotezea nilikuwa sifatilii ila nikaja kujua kuwa jamaa hua anakwenda kwa demu ila n mara chache maybe kwa mwezi mara tatu, nikapotezea tuu mana najua wale wamezama wote na kwa maelezo ya demu n hawajawahi kusex.

Kuna kipindi nilifukuzwa kazin kutokana na kupishana kauli na boss wangu, so mambo yangu yalienda vibaya mno.
Ila bado nilikuwa nikimtimizia mahitaji yake yule demu japokuwa tulikuwa hatuishi pamoja, kipindi fulani akataka kuhama kwenda kuishi mtaa mwngn nkatoa pesa ili kukamilisha yeye kuondoka mtaa ule huku tukiwekeana ahadi kuwa baada ya yeye kuondoka bc tutaenda kuishi wote hapo So mm nilimuamini na nkatoa kodi ya mwaka mzima pamoja na kununua baadhi ya vitu vya ndani yn zaidi ya 60% ya vitu ndani nilinunua kwa pesa yangu + kodi ya mwaka mzima (hapo bado sina kazi hvy nlkuwa natumia akiba yangu niliyokuwa nayo wakati nafanya kazi)

Pamoja na hayo pia aliniomba nimfungulie biashara ila nilimwambia asubiri mana nmetumia pesa nyingi kwake na pia kuna pesa niliwekeza mahali So kwa kipindi kile sikuwa na pesa kabisa na hiyo biashara ilikufa nikiwa sijaingiza ht mia kama faida. So kuhusu kumfungulia biashara ikashindikana kwa wakati ule ila nilimuahidi kumfungulia hy biashara.

Akiwa tayari amehamia kwenye hayo makazi mapya ndipo mambo yalipoanza kuvurugika zaidi, kugombana nae ilikuwa n kila siku, kunitukana matusi makubwa mno, kunidharau na kila aina ya mabaya alinifanyia ila mm nilikuwa nikimvumilia mana sikutaka kuanzisha mahusiano na mwanamke mwngn mana binafsi hua n mgumu sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake na ndio mana sina idadi kubwa ya wanawake waliowahi kuwa nao kwenye mahusiano nadhani hawafikii hata wanawake nane ambao nshawahi kuwa nao.

Tukigombana anakaa siku kadhaa anarudi kuniomba msamaha (bado tulikuwa hatuishi pamoja) Then maisha ya yaendelea na sema ukweli tukiwa sawa hua tunaishi vzr kiasi kwamba unasema huyu ndie mwanamke wa kuoa.
Kilichofanya nisiishi nae n kwa sababu kipindi hicho sikuwa na pesa hvy nilikuwa nawaza sana nikiishi nae nitamlisha nini na huyo mwanae so ni bora nisiishi nae ili akipewa pesa ya matumizi na huyo aliyezaa nae bc iweze kumtosha yeye na mwanae kuliko na mm niwepo hapo niwe nategemea kula hy pesa ya huyo mwanaume mwngn na pia Mm nlkuwa nikitoka kupambana huko nilikuwa nikimpatia pesa ya matumizi japokuwa sio kila siku. Lkn huyo mwanamke bado akawa ananidharau mno na kila siku tulikuwa tukigombana kwa sababu za kijinga tuu ambazo yeye ndie ameanzisha.

Kumbe huku nyuma mzee mwenye nyumba alitaka kurekebisha mikataba kutokana na kutaka kwenda kukopa pesa benki hvy pale kwenye jina langu kwenye mkataba demu aliondoa jina langu na kuweka lake kwamba yeye ndie mwenye chumba. Hilo pia nilinyamaza na sikutaka kupigiana kelele nae mana kwa kiasi fulani nilianza kuchoka kuwa nae mana kila siku alikuwa mtu wa kunisababishia stress. Mpaka ikafika wakati akanipiga marufuku kukanyaga pale anapoishi.

Kuna siku tukiwa nae nikaanzisha story kuwa nlishawahi kumuona akiingia gest na mwanaume (nilifanya utani ila nikiwa na sura ya serious) bahati nzuri au mbaya akakubali n kweli aliwahi kutoka na mwanaume na walitumia kinga na alifanya hvy kwa sababu hakuwa na jinsi ya kufanya mana hakuwa na pesa ya kuendesha maisha yake mana Mm kwa kipind hicho sikuwa na kazi pia yule aliyezaa nae alikuwa akimzungua kumpa pesa ya matumizi, hii kitu iliniuma sana ila nikapotezea. Na kutokana na mambo yake najua kuna wanaume wengi ametoka naye ila nimenyamaza.

Nashukuru mungu kuna mahali nilipata kazi japokuwa mshahara mdogo lkn nashukuru Mungu mambo yangu yalikuwa yakienda, na yule demu bado nilikuwa naye japokuwa sio kuishi nae, so alikuwa anakuja kwangu anakaa siku kadhaa huku mtoto akiwa kwa dada yake Then anarudi kumchukua mwanae na siku nyingine nlkuwa nikienda kwa demu.

Tuliendelea kuishi hvy hvy kwa kugombana na kurudiana na hayo yote n yeye alikuwa akiyaanzisha yn ugomvi pamoja na mapatano, Mm nilikuwa mpole wakati wote mana sikutaka kuwa na mahusiano mngn zaidi yake tuu.

Kuna siku akaomba nimuanzishie biashara na akapiga hesabu ya kiasi kinachohitajika kwenye hiyo biashara na nikamjibu sawa napambana kupata hiyo pesa, ila dah nawaza kama huyu huyu ndie amekuwa mwiba kwenye maisha yangu kwamba nilitumia kiasi kikubwa cha pesa ili kumfurahisha wakati ambao Mm sina kazi na akalipa kwa kunionyesha dharau na matusi juu halafu huyu huyu tena nimuanzishie biashara si mambo yatakuwa yale yale ataweza kunifukuza hata hapo kwenye biashara niliyomfungulia mwnyw, nikaona hii hapana siwez kumfungulia biashara hvy ngoja ninyamaze niendelee kusikiliza kelele zake za kutaka kumfungulia biashara.

Ndugu zangu, pesa ambazo nmetumia kwa huyo single mother nngesema nijiajiri hakika nngepiga hatua kubwa kwenye maisha yangu ila nilifanya hayo kwake ili kumfurahisha mana nilimuamini ila bado akaniumiza.

Mpaka muda huu bado nipo nae ila kwa kweli sioni future nae mana kila wakati mm na yeye n kugombana tuu, sasa kama mtu hawezi kuwa mwaminifu sasa hv je atakuwa mwaminifu tukiwa kwenye ndoa! Hilo n hapana.
Japokuwa inaniumiza kuachana nae ila ni bora iwe sasa kuliko huko mbele itakavyokuwa nikiwa nitaendelea kulazimisha kuwa nae.

Someone once said 'if you get on the wrong train, be sure to get off at the first stop. The longer you stay on, the more expensive the return trip is going to cost you'

They weren't talking about trains 😎
1. Anakudharau na ataendelea kukudharau kwa sababu anakuona wewe ni dhaifu, fala, boya, jinga kwa sababu una mahusiano serous na yeye ambaye ni singo maza.

2. Anajua fika ya kwamba mwanamme kamili anayejielewa hawezi kuwa na mahusiano serious na singo maza wala kuvumilia red flags kama disrespect na cheating.

3. Mwanamke anamuheshimu mwanamme anayejiheshimu. Tabia za mwanamme anayejiheshimu, mahusiano yake na singo maza ni hit and run, mwanamke akimkosea adabu au akichepuka ni lazima amuache n.k.

4. Hupaswi kufanya favor kwa mwanamke yeyote mwenye red flag kwenye mahusiano.

5. Unapomsamehe mwanamke aliyekukosea, kwenye akili yake anatafsri ya kwamba wewe ni dhaifu, hujithamini, huna pa kwenda, mjinga, mpumbavu na sifa mbaya nyingi kuhusu wewe.

6. Singo maza siyo wa kuoa, ni wa kugonga na kusepa.
 
Back
Top Bottom