RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k
Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.
Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.
Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.
Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.
Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.
Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way
Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.
Learn Brother imekubali NONDO yako
Brother! Big up kwa ujumbe wako adhimu , that's a real smart fact 🙏🏼Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k
Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.
Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.
Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.
Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.
Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.
Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way
Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.
Learn or perish.