Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Nakuelewa sana mkuu, najutia sana kuwekeza muda na pesa zangu kwake yn najuta mno mpaka nakuwa mvivu kumove on hasa akijirud
Pesa ni nini? Shukuru Mungu uliweza kufanya ulivyoweza. Hata wewe huenda kuna watu wanajuta kwamba uliwaingiza mkenge whether kwa kujua au kutojua. Kila mtu ana positive side na negative side - wakati mwingine upande mmoja unaweza kuwa juu, na wakati mwingine kuwa chini na ndivyo maisha yetu yalivyo. Don't regret, use it as an opportunity kusonga mbele. Don't be stuck at that!
 
Kwahiyo unasubiri nini kuachana naye mkuu?
 
Mkuu humu utajisumbua kueleza baadhi ya wachangiaji hawajielewi they are empty and toxic na wengi wamepitia maisha magumu au malezi mabovu. Mtu anaandika vitu mpaka unamuonea huruma mtu ambaye ana uhusiano naye.
 
Hii kitu ni halisi sana. Mwanaume usijisahau, usiruhusu mwanamke akuangushe kama kule bustani ya eden.

Ongoza, na ongonzwa na Mungu, usiongozwe na mwanamke, ndio maana ya kuwa kichwa.
 
1. Anakudharau na ataendelea kukudharau kwa sababu anakuona wewe ni dhaifu, fala, boya, jinga kwa sababu una mahusiano serous na yeye ambaye ni singo maza.

2. Anajua fika ya kwamba mwanamme kamili anayejielewa hawezi kuwa na mahusiano serious na singo maza wala kuvumilia red flags kama disrespect na cheating.

3. Mwanamke anamuheshimu mwanamme anayejiheshimu. Tabia za mwanamme anayejiheshimu, mahusiano yake na singo maza ni hit and run, mwanamke akimkosea adabu au akichepuka ni lazima amuache n.k.

4. Hupaswi kufanya favor kwa mwanamke yeyote mwenye red flag kwenye mahusiano.

5. Unapomsamehe mwanamke aliyekukosea, kwenye akili yake anatafsri ya kwamba wewe ni dhaifu, hujithamini, huna pa kwenda, mjinga, mpumbavu na sifa mbaya nyingi kuhusu wewe.

6. Singo maza siyo wa kuoa, ni wa kugonga na kusepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…