Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha


Brother! Big up kwa ujumbe wako adhimu , that's a real smart fact 🙏🏼
 
Anakudharau na ataendelea kukudharau kwa sababu anakuona wewe ni fala kuwa na mahusiano na yeye kwa sababu yeye ni singo maza.

Anajua fika ya kwamba mwanamme kamili anayejielewa hawezi kuwa na mahusiano serious na singo maza.
Nimeshajifunza
 
Ukimwezesha mwanamke matokeo ya uwezeshaji wako ni kwaajili yake peke yake, wakati wewe ni kwaajili yake na familia, na zaidi kukuweka chini ya miguu yake akutawale.
Sio kweli inategemea usiowe mwanamke wa hivi mbinafsi tafuta tu mwenza sahihi usiwe negative hivi na maneno ya vijiweni
 
Nimeshajifunza
Bado mkuu ujamaliza kozi nzima endelea kuisoma mwisho utaujua ukweli kwamba kwenye mzunguko wa maisha kuna positive alafu kuna negative Kwahiyo kama ukiwa na mke positive mambo kama haya ya dharau sijui usaliti hayatokuwepo tafuta tu mwenza sahihi, watu wapuuzi negative hawafai iwe kwa mwanaume au mwanamke inshort tafuta mwenza sahihi kusaidiana ni vitu vya kawaida tu kwa wapenzi kama ukiwa sehemu sahihi
 
Hii ukwel kabisa haina kupinga
 
Hii nimeiona na imenitokea!

Nikachill na kujifanya siiombi Wala siitaki na badae nikasema nyakati za kuwa pamoja zimeisha!!
 
Huyo jamaa uliyomquote sio tu ni bwege au mjinga Bali ni mtu ambaye akili zake hazina akili au tuseme ni chizi sijui karogwa huyo... Yaani nimesoma story yake mpaka nimepata hasira.

Binafsi naungana na huyo single mama kwa yote anayomfanyia, yes mwanaume kama huyo ambaye hajui thamani yake ni hatakiwi kuheshimiwa hata kidogo na ni haki yake kumdharauliwa na Kila mtu sio wanawake...

Unakaaje na mwanamke ambaye anakufanyia vitimbi vyote Bado uko nae?? Naamini kabisa huyo single mother siku akitaka kuongeza mtoto lazima atamtafuta baba mtoto wake ndio azae nae na hawezi kubeba mbegu ya huyu fala... Huyo fala yeye atahusishwa kwenye malezi tu basi kama ambavyo anahusishwa kwenye kumlea huyo wa kwanza.

Eti jamaa linajinasibu kabisa limefanya hayo yote hili kumfurahisha huyo single mother mara sijui haliko tayari kuingia kwenye mahusiano mengine yaani linaongea utafikiri labda halidindishi na huyo single mother wake analifichia Siri.... Jinga sana hilo
 
Wewe jamaa ni mtu wa ovyo sana, kilichobaki hapo ni huyo mwanamke kuja kukuua tu basi hili apunguze idadi ya foolish men mliojazana kwenye jamii yetu... Tena Mimi nitakuwa hapa kumtetea kwamba she's innocent na amekuua bilia kukusudia.
 
Wewe jamaa ni mtu wa ovyo sana, kilichobaki hapo ni huyo mwanamke kuja kukuua tu basi hili apunguze idadi ya foolish men mliojazana kwenye jamii yetu... Tena Mimi nitakuwa hapa kumtetea kwamba she's innocent na amekuua bilia kukusudia.
Nimeshajifunza mkuu, najua nilikosea mno ila sasa nimepata funzo.
 
Nmekuelewa mkuu, nakubali nilikuwa mpumbavu kipindi hicho ila sasa nimejifunza.
 
Wewe jamaa unaishi kwenye idealistic World, unahitaji kupigwa Kofi zito hili utoke kwenye huyo utopia na Kuja kwenye ulimwengu halisi.
Na wewe nakuonea huruma kama ndoa yako imeshakupeleka 'hell'. Ndoa haitakiwi ikupe mateso hivyo, either you had a wrong choice or she had a wrong choice and now you are entangled. Pole sana!
 
Sasa kwanini mnadanga?, kwanini mnataka kuwa entitled kwenye mali za mwanaume?, si mtumie izo opportunities za vicoba.
Nakwambiaje,with higher participation of girls into higher education these days expect women with higher salaries tomorrow...nyie wanaume wenye ego za ajabu ajabu mtakesha mitandaoni mkitoq sumu zenu mpk basi...
 
Nakubali 💯%
Na akianza kuwa na pesa nyingi kukuzidi tafuta any means zipungue awe kawaida.
 
Nakwambiaje,with higher participation of girls into higher education these days expect women with higher salaries tomorrow...nyie wanaume wenye ego za ajabu ajabu mtakesha mitandaoni mkitoq sumu zenu mpk basi...
Haujajibu nilichokuuliza. Kwanini mnadanga, Kwanini mnataka kuwa entitled kwenye mali za mwanaume, badala ya kutumia izo opportunities za vicoba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…