Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Devil two Natafuta Ajira,, nimelaaniwa sana na ndugu wa mwanamke tulieachana..
Sababu wanasema nimeishi na ndugu yao miaka zaidi ya kumi bila kumuwezesha kibiashara..wakati nilikuwa na uwezo wa kumfungulia biashara..

Nikajiuliza swali hili,, Hivi inawezekanaje mwanaume uliekamilika na unajua misingi ya maisha ukagawa nguvu zako za kiume kwa mwanamke??
Maana wengi hudhani nguvu za kiume ni ile hali ya kusimamisha Dudu baya..

Pesa zako na mafanikio plus mali ndio nguvu zako za kiume
Maana kama ni kumlala huyo mwanamke yeyote yule anaweza kumlala tu hata chizi.

Tutunze pesa zetu.. halafu epuka sana kazi au biashara zako kufahamika na hawa ke.
Inatakiwa isemekane tu mwamba ana pesa but chanzo chake kisifahamike hata na washikaji zako wa karibu..
Maana kuna washkaji wana homoni za kike utasikia mwamba ana biashara kibao lakini hajawahi kumtambulisha mke wake.
 
๐Ÿซก๐Ÿซก
 
Wewe kwanza yeye baadae, hayo yote nitazingatia kama nae anaoffer kile mimi nataka.

Siwezi kumhangaikia mtu asie na manufaa yoyote.
 
Wanafikiri mahusiano ya kimapenzi ni mfuko wa pensheni
 
Wanafikiri mahusiano ya kimapenzi ni mfuko wa pensheni
Mambo mengi mabaya na ya kinyama huwakuta wanaume wote ambao huidharau kanuni ya mchezo wa mahusiano.
Wengi hudhani ndoa ni maisha bila kujua ndoa ni mchezo ndani ya maisha ambao una kanuni na matokeo yaliyo wazi.
Before you enter the pitch make sure that you have best tactics
Always play to win by any means..
Thus my money is not given rather earned.
Huwezi kumpa mkeo simu ya above milion ilihali kwenu kijijini hujaweka hata vyumba viwili na sebule vya kisasa..
Too much pussy obssession leads mental retardation(simp promax)
Na ni ngumu sana kumuelimisha simp
Maana simp anapoingia kwenye mahusiano hujitengenezea madeni mengi na makubwa kupitia mwanamke wake akidhani ni wajibu wake kuclear madeni ambayo wazazi wa mwanamke wala mhusika mwenyewe hawakuona ulazima wa kujishughulisha nayo
 
Asante sana kwa hii Elimu mkuu, ubarikiwe sana
 
Humo hamna mke, utakuja kulia na kusaga meno. Tenda wema uende zako usigeuke nyuma
 
Mwanamke anagundua kwamba ananyanyasika endapo kama hajalipwa bei ya hayo manyanyaso, ukilimlipa bei inayomtosheleza hatofikiria kwamba unamnyanyasa tena yeye mwenyewe ndie atakukutetea kwa hayo manyanyaso unayomfanyia
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kuna mwanamke alipigwa na mumewe hadi akajeruhiwa baada ya majirani kujua wakareport polisi jamaa akawekwa ndani lakini cha kushangazwa ni kwamba mwanamke mwenyewe baada ya kutoka hospitali alikwenda kumuwekea dhamana mumewe atoke rumande na kuwaeleza polisi kuwa yeye ndio alianza kumpiga mumewe hivyo wakapigana na yeye ndio chanzo maana alimtukana na hivyo mumewe hana kosa hivyo anaomba wamtoe yeye hataki case anamtaka mumewe hawatapigana tena!

NB: Mume alikuwa na hela kumzidi mke na mke alikuwa ana mtegemea mumeโ€ฆ.

โ€ฆ.My takeโ€ฆMkuu unaongea uhalisia sana na kila mtu haya mambo yamemkutaโ€ฆni kosa kubwa kujaribu kumfanya mwanamke muwe level moja kiuchumi
 
Msitutishe sio wanawake wote.Sio wanawake wote.Mbona wapo waelewa na wenye hofu ya Mungu.Lakini mbona wapo pia wanaume waizi kwenye mahusiano.Wanawadanganya wanawake waliofanikiwa na kuwatapeli.Halafu mbona mama yako hajamuibia baba yako.By mtetezi wa wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ