Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Devil two Natafuta Ajira,, nimelaaniwa sana na ndugu wa mwanamke tulieachana..Tuendelee kuwasanua madogo na vijana wenzetu. Kuna ongezeko kubwa sana la ma-simp huku mtaani. Hawa madogo na vijana wenzetu wakishapotezewa mwelekeo na wanawake ni sisi washkaji na mabraza wao ndio tutawajibika kuwarudisha kwenye mstari, wanawake waliowapukutisha wataingia mitini.
Sababu wanasema nimeishi na ndugu yao miaka zaidi ya kumi bila kumuwezesha kibiashara..wakati nilikuwa na uwezo wa kumfungulia biashara..
Nikajiuliza swali hili,, Hivi inawezekanaje mwanaume uliekamilika na unajua misingi ya maisha ukagawa nguvu zako za kiume kwa mwanamke??
Maana wengi hudhani nguvu za kiume ni ile hali ya kusimamisha Dudu baya..
Pesa zako na mafanikio plus mali ndio nguvu zako za kiume
Maana kama ni kumlala huyo mwanamke yeyote yule anaweza kumlala tu hata chizi.
Tutunze pesa zetu.. halafu epuka sana kazi au biashara zako kufahamika na hawa ke.
Inatakiwa isemekane tu mwamba ana pesa but chanzo chake kisifahamike hata na washikaji zako wa karibu..
Maana kuna washkaji wana homoni za kike utasikia mwamba ana biashara kibao lakini hajawahi kumtambulisha mke wake.