Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Tuendelee kuwasanua madogo na vijana wenzetu. Kuna ongezeko kubwa sana la ma-simp huku mtaani. Hawa madogo na vijana wenzetu wakishapotezewa mwelekeo na wanawake ni sisi washkaji na mabraza wao ndio tutawajibika kuwarudisha kwenye mstari, wanawake waliowapukutisha wataingia mitini.
Devil two Natafuta Ajira,, nimelaaniwa sana na ndugu wa mwanamke tulieachana..
Sababu wanasema nimeishi na ndugu yao miaka zaidi ya kumi bila kumuwezesha kibiashara..wakati nilikuwa na uwezo wa kumfungulia biashara..

Nikajiuliza swali hili,, Hivi inawezekanaje mwanaume uliekamilika na unajua misingi ya maisha ukagawa nguvu zako za kiume kwa mwanamke??
Maana wengi hudhani nguvu za kiume ni ile hali ya kusimamisha Dudu baya..

Pesa zako na mafanikio plus mali ndio nguvu zako za kiume
Maana kama ni kumlala huyo mwanamke yeyote yule anaweza kumlala tu hata chizi.

Tutunze pesa zetu.. halafu epuka sana kazi au biashara zako kufahamika na hawa ke.
Inatakiwa isemekane tu mwamba ana pesa but chanzo chake kisifahamike hata na washikaji zako wa karibu..
Maana kuna washkaji wana homoni za kike utasikia mwamba ana biashara kibao lakini hajawahi kumtambulisha mke wake.
 
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k

Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.

Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.

Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.

Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.

Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.

Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way

Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.

Learn or perish.
🫡🫡
 
Ukitaka kumtawala mwanamke uwe nq vitu hivi AKILI,KUJUA THAMANI YAKO KAMA MWANAUME,MUHUDUMIE KULINGANA NA UWEZO WAKO,KUWA VIZURI KITANDANI,MSIMAMO NA MWISHO JIHESHIMU ( USIMCHEAT AKAJUA). Udhaifu wa wanaume unasababishwa na ukosefu wa hivyo vitu ndio maana wanakosa power kwa wanawake
Natafuta Ajira
Wewe kwanza yeye baadae, hayo yote nitazingatia kama nae anaoffer kile mimi nataka.

Siwezi kumhangaikia mtu asie na manufaa yoyote.
 
Devil two Natafuta Ajira,, nimelaaniwa sana na ndugu wa mwanamke tulieachana..
Sababu wanasema nimeishi na ndugu yao miaka zaidi ya kumi bila kumuwezesha kibiashara..wakati nilikuwa na uwezo wa kumfungulia biashara..

Nikajiuliza swali hili,, Hivi inawezekanaje mwanaume uliekamilika na unajua misingi ya maisha ukagawa nguvu zako za kiume kwa mwanamke??
Maana wengi hudhani nguvu za kiume ni ile hali ya kusimamisha Dudu baya..

Pesa zako na mafanikio plus mali ndio nguvu zako za kiume
Maana kama ni kumlala huyo mwanamke yeyote yule anaweza kumlala tu hata chizi.

Tutunze pesa zetu.. halafu epuka sana kazi au biashara zako kufahamika na hawa ke.
Inatakiwa isemekane tu mwamba ana pesa but chanzo chake kisifahamike hata na washikaji zako wa karibu..
Maana kuna washkaji wana homoni za kike utasikia mwamba ana biashara kibao lakini hajawahi kumtambulisha mke wake.
Wanafikiri mahusiano ya kimapenzi ni mfuko wa pensheni
 
Mambo mengi mabaya na ya kinyama huwakuta wanaume wote ambao huidharau kanuni ya mchezo wa mahusiano.
Wengi hudhani ndoa ni maisha bila kujua ndoa ni mchezo ndani ya maisha ambao una kanuni na matokeo yaliyo wazi.
Before you enter the pitch make sure that you have best tactics
Always play to win by any means..
Thus my money is not given rather earned.
Huwezi kumpa mkeo simu ya above milion ilihali kwenu kijijini hujaweka hata vyumba viwili na sebule vya kisasa..
Too much pussy obssession leads mental retardation(simp promax)
Na ni ngumu sana kumuelimisha simp
Maana simp anapoingia kwenye mahusiano hujitengenezea madeni mengi na makubwa kupitia mwanamke wake akidhani ni wajibu wake kuclear madeni ambayo wazazi wa mwanamke wala mhusika mwenyewe hawakuona ulazima wa kujishughulisha nayo
 
Kwanini atakuacha? ni swali rahisi sana, atakuacha kwa sababu matamanio ya mwanamke yapo kwa mwanaume ambae amemzidi kila kitu kuanzia umri, hela, elimu, mali n.k

Mwanamke ni mbinafsi, katika mahusiano anataka apate faida kwa maana iyo akitulia na mwanaume ambae wanalingana au amemzidi maana yake uwiano wa kutoa na kupokea hautatofautiana sana, na iyo ndio biashara ambayo mwanamke hataki hata kuisikia, anataka balance sheet isome profit upande wake.

Utakapompa kipaumbele na kumuwezesha mwanamke zaidi yako ataanza kuona anafanya favor ku-date na wewe, atakuona wewe ni dhaifu kwake na ataanza kutafuta mwanaume mwingine ambae amemzidi kila kitu na kwa wakati huo mwanaume uyo sio wewe tena.

Unatakiwa kuelewa kwa mwanamke mapenzi ni biashara, nguzo ya mapenzi kwa mwanamke ni material and monetary benefits anazozipata kutoka kwako, kwaiyo kama upo chini yake maana yake hautaweza kumtimizia gharama za mahitaji yake ambayo hawezi kujitimizia yeye mwenyewe.

Kabla ya kumuwezesha mwanamke akikisha umejiwezesha wewe mwenyewe mara 10 zaidi. Ukimpa elfu 10 akikisha umebakiwa na laki moja kwa ajiri yako, ukimnunulia ist akikisha uwe unatumia range rover. Tena iyo ist usisahau kuandika jina lako kwenye kadi, akizingua unachukua gari lako.

Wanawake wa kisasa wapo kwenye msako mkali sana wa kutafuta wanaume mafala (wenyewe wanawaita gentemen) wa kuwatumia kama ngazi ya mafanikio na kuwaacha wakishatimiza lengo lao. When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.

Wema wake wa sasa usikupumbaze inawezekana ikiwa mbinu tu kwa sababu bado hajapata anachokitaka, mpango wake aliopanga kuufanikisha kupitia wewe bado haujakamilika, when she accomplish her mission in that relationship you will learn the hard way

Ninachokufundisha hapa hautafundishwa shuleni, hautafundishwa na wazazi wala marafiki.

Learn or perish.
Asante sana kwa hii Elimu mkuu, ubarikiwe sana
 
Kweli mkuu ushauri mzuri Mimi nina mpenzi wangu ananiomba nimuwezeshe kwenye Biashara zake, Mimi namchora tu najiuliza mara mbili nimuweze ili iweje na kwa makengo yapi na yeye ana Mambo mengi anataka kufanya na ana Jenna Nyumba na anataka kununua kiwanja, Najiuluza haya yote ana mfanyia nani,na hapo anataka nimuoe.
Humo hamna mke, utakuja kulia na kusaga meno. Tenda wema uende zako usigeuke nyuma
 
Mwanamke anagundua kwamba ananyanyasika endapo kama hajalipwa bei ya hayo manyanyaso, ukilimlipa bei inayomtosheleza hatofikiria kwamba unamnyanyasa tena yeye mwenyewe ndie atakukutetea kwa hayo manyanyaso unayomfanyia
😂😂😂😂😂 Kuna mwanamke alipigwa na mumewe hadi akajeruhiwa baada ya majirani kujua wakareport polisi jamaa akawekwa ndani lakini cha kushangazwa ni kwamba mwanamke mwenyewe baada ya kutoka hospitali alikwenda kumuwekea dhamana mumewe atoke rumande na kuwaeleza polisi kuwa yeye ndio alianza kumpiga mumewe hivyo wakapigana na yeye ndio chanzo maana alimtukana na hivyo mumewe hana kosa hivyo anaomba wamtoe yeye hataki case anamtaka mumewe hawatapigana tena!

NB: Mume alikuwa na hela kumzidi mke na mke alikuwa ana mtegemea mume….

….My take…Mkuu unaongea uhalisia sana na kila mtu haya mambo yamemkuta…ni kosa kubwa kujaribu kumfanya mwanamke muwe level moja kiuchumi
 
Msitutishe sio wanawake wote.Sio wanawake wote.Mbona wapo waelewa na wenye hofu ya Mungu.Lakini mbona wapo pia wanaume waizi kwenye mahusiano.Wanawadanganya wanawake waliofanikiwa na kuwatapeli.Halafu mbona mama yako hajamuibia baba yako.By mtetezi wa wanawake
 
Back
Top Bottom