Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Nyakati unazopitia sio za kudumu, utavuka ukiwa salama... tupo pamoja.
Asante kaka,kiukweli napitia kitu kigumu sana.Nalia,moyo unalipika,nachanganyikiwa siamini,nachukulia ni kawaida nawaza nifanyeje sipati jibu. Kikubwa nilichonacho sasa ni kuongeza utulivu na umakini.

Hakika wahenga walisema kua uyaone.....
 
In this game you have to accept the fact that, sometimes you will win sometimes you will lose.. Count your loss and move on.
 
Simple fact:
Ukishamwezesha mwanamke mkawa sawa guess what's next?

She will look out for a man above her and you

Na dharau na disrespect huanzia hapo

Keep this on mind women are always opportunists

Hakikisha mke wako unamwajiri kwenye miradi yako asiwe business partner hakikisha asiwe na ile kauli ya kusema huu mradi au biashara yetu.
 
Tuendelee kuwasanua madogo na vijana wenzetu. Kuna ongezeko kubwa sana la ma-simp huku mtaani. Hawa madogo na vijana wenzetu wakishapotezewa mwelekeo na wanawake ni sisi washkaji na mabraza wao ndio tutawajibika kuwarudisha kwenye mstari, wanawake waliowapukutisha wataingia mitini.
 
Nakuelewa sana nyuzi zako

Tuna deni kubwa sana kwenye jamii kurudisha hadhi na utu wa mwanaume mbele ya mwanamke hasa kwa hawa madogo

Lets Make Men Great Again
 
Back
Top Bottom