Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyakati unazopitia sio za kudumu, utavuka ukiwa salama... tupo pamoja.Ukweli mkubwa sana huu.Mungu akubariki.
Kuna kitu nakipitia ni hiki hiki, ila nimeelewa nitavuka tu
Asante kaka,kiukweli napitia kitu kigumu sana.Nalia,moyo unalipika,nachanganyikiwa siamini,nachukulia ni kawaida nawaza nifanyeje sipati jibu. Kikubwa nilichonacho sasa ni kuongeza utulivu na umakini.Nyakati unazopitia sio za kudumu, utavuka ukiwa salama... tupo pamoja.
In this game you have to accept the fact that, sometimes you will win sometimes you will lose.. Count your loss and move on.Asante kaka,kiukweli napitia kitu kigumu sana.Nalia,moyo unalipika,nachanganyikiwa siamini,nachukulia ni kawaida nawaza nifanyeje sipati jibu. Kikubwa nilichonacho sasa ni kuongeza utulivu na umakini.
Hakika wahenga walisema kua uyaone.....
Sawa nimekuelewa kaka.Asante sanaIn this game you have to accept the fact that, sometimes you will win sometimes you will lose.. Count your loss and move on.
100% trueWhen you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.
😀😀😀😀😀Tumepata kiongozi wetu tayari
Awepo kiti cha mbele kabisa💪💪💪Wewe utakuwa mtoa mada kweny kikao kijacho cha Wanaume izi ni fact tupu mzee
Tuendelee kuwasanua madogo na vijana wenzetu. Kuna ongezeko kubwa sana la ma-simp huku mtaani. Hawa madogo na vijana wenzetu wakishapotezewa mwelekeo na wanawake ni sisi washkaji na mabraza wao ndio tutawajibika kuwarudisha kwenye mstari, wanawake waliowapukutisha wataingia mitini.Simple fact:
Ukishamwezesha mwanamke mkawa sawa guess what's next?
She will look out for a man above her and you
Na dharau na disrespect huanzia hapo
Keep this on mind women are always opportunists
Hakikisha mke wako unamwajiri kwenye miradi yako asiwe business partner hakikisha asiwe na ile kauli ya kusema huu mradi au biashara yetu.
Pole mkuuUkweli mkubwa sana huu.Mungu akubariki.
Kuna kitu nakipitia ni hiki hiki, ila nimeelewa nitavuka tu
Hii kitu naijua toka nikiwa Shule za Kata...usidanganyike na Gentlemenhood....unapigwa.Huu uzi umenipiga kwenye mshono mkuu kwani nilikusimulia maisha yangu ama
Huyu sasa anakupimia Mission zake zitimie utalijua jijiKweli,
Kama ananufaika sana kwa fedha na mali kutoka kwako atakutii hata kwa mambo yatakayokushangaza..
View attachment 3114965
When you hear a woman say she want a gentleman that's means she want a weak, idiot and wealth man.
Tuendelee kuwasanua madogo na vijana wenzetu. Kuna ongezeko kubwa sana la ma-simp huku mtaani. Hawa madogo na vijana wenzetu wakishapotezewa mwelekeo na wanawake ni sisi washkaji na mabraza wao ndio tutawajibika kuwarudisha kwenye mstari, wanawake waliowapukutisha wataingia mitini.