Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Ukimpa kipaumbele na kumuwezesha zaidi yako atakuacha

Uyo mwenza sahihi hana alama usoni. Hisia za mwanamke haziwekewi dhamana
Hakuna kitu kinaitwa mwenza sahihi..
Ikiwa huyo mwenza anakuja akiwa na priorities zake ambazo ni different kabisa na unhealthy kwa uchumi wako..
So jamaa anajaribu kujiconsole kwa hatua ambazo ameshazipiga kwa manzi yake..
Its either jamaa yuko pussy blinded haamini kuwa mwenzake anaweza kuwa na hidden agenda ambazo ni against na wishings zake..
This nigga deserves Mercy,,
 
No comment, ingawa umetumia lugha rahisi na iliyotulia ila ujumbe wako ni mkubwa sana, inabidi mtu akusome taratibuu sana ili kuweza kukuelewa, otherwise anaweza kufikiri ni kama jumbe nyingine tu na mahusiano
There is nothing that hits harder like a bounced stone!!
This nigga's message is a bouncing stone.
Much congrats to Natafuta Ajira
 
Been through dat it made me a very strong man lately. Upuuzi ndio kitu ambacho sina uvumilivu nacho.
Thus baada ya mwanaume kutendwa na kusalitiwa na mwanamke ambae aliwekeza sana imani yake kwake wengi hupitia sonona kali sana ya muda mrefu..
Na baada ya kupona wengi huwa romantic sana.. maana hii ndio silaha ambayo hujipenyeza taratibu kwa mtu ambae alikuwa simp or nice guy..
Then boom huzaliwa monster bad boy ambae wanawake wengi humuona mtamu na romantic sana..
Hakuna simp ambae ni romantic bali wanakuwa gentleman na tafsiri ya hili neno (gentleman) means aligning with women's interests at any cost to maintain them..
Simps do think that maintaining one lady for years at the expense of his blood and sweat, its Success.
Listen my dear friend(simps) "Lasting with a lady for less than a week, isn't a sin.."
 
Hivi ukiamua kuoa au kuishi unataka uishije, kwa kudanganya danganya au kwa kutenda wema? Kanuni ya maisha ni kuwa mtu mwema na sitaki kuiga tabia za watu wengine, ikiwemo ya mke wangu (kama ni mbaya) inibadilishe na mimi nianze kuwa mtu mbaya. Wanandoa - mume na mke - kila mmoja ana udhaifu wake. Baadhi ya wanandoa hukubaliana kubadilika na kuzifanyia kazi tofauti zao na huwa mfano kwa wengine. Wanandoa wengine kila mmoja anabaki kama alivyo (kumwona mwenzake tu ndiye mbaya na yeye ni mwema). Hawa hawana muda wa kukaa pamoja na kujadiliana wafanye, isipokuwa matatizo ya ndoa yao huyapeleka kwa watu wengine ambao hata hawawezi kuwasaidia. Mwisho wa siku wanandoa kama hawa hujikuta wameshaweka ufa mkubwa katika mahusiano yao (kati yao) kiasi kwamba hawana njia ya kuuondoa huo ufa, isipokuwa kuishi kijanja janja tu. Wanandoa wakishafikia hatua hii kila ushauri wataona haufanyi kazi. Binafsi nataka to do my best. The rest, namwachia Mungu na ikitokea tukafarakana sikati tamaa na wala silalamiki, maana nilichokifanya ndicho hicho nilichoweza au nilichotakiwa kufanya. Lakini sasa kama unaishi na mtu kwa kutenda mambo nusu nusu au kijanja janja, je mkifarakana utaona uliyoyofanya ndiyo uliyotakiwa kufanya?
Mkuu nimekuelewa vizuri sana
 
Bandiko limekaa kiupinde kisenge yaani..
Unamaanisha yaani wanaume tuwe tunaomba K kwa wanawake siku zile kabla ya wao kuingia period maana ndio wanakuwa kwenye joto haswa..
Halafu nikuulize swali ndugu mjuaji na mtetezi wa wanawake..
Vipi pale mwanzo wa penzi unakuta mwanamke ndio mhitaji mkubwa wa sex hasa akishakuelewa mjuba??
Yaani inakuwaga hakuna excuse mnaweza mkapiga show hata throughout the month mpaka atakapoingia period.
Hapo unataka kuniambia mwanamke huwa anatumia mechanism gani?
Oyaa blood umezingua kuleta issue petty kama hii kuipinga post ya mwamba..
Broo we unafanya counselling kuhusu mahusiano ya watu?
Mimi nina ushahidi wa kutosha kuwa wanawake huwabania K*ma wanaume most of the time kama unataka sema nimwage hapa namna ya kuwakamata wake zetu ikiwa wanapitia hizo changamoto au laa ni kwamba wameamua tu kuzingua..

Speaking and giving facts about what I have witnessed and faced more than once and some tricks I used to encounter these situations to different women..
Baharia nakufatilia kitambo tu hukosei...ukiona demu anaanza kuweka ratiba zake ujue ana mpango wake kando ya wewe.
Niliwai kuwa na manzi mwanzoni alikuwa anataka tuonane mara kwa mara ila alipoona siku zinakwenda mfukoni sieleweki nikaachwa kwa vitendo sio maneno.
Leo mambo yamebadilika kidogo matatizo madogo sina anarudi kwa 5G mzigo naletewa hata kama sijamwita.
 
Halafu ubaya ni pale simps wanapodhani kuwa tunaoleta hizi agenda na kuwasanua hatuna mahusiano,, kiasi wanahisi labda kauli zetu ni maneno ya mkosaji..
Au wanadhani kisa wanadate na pisi kali zinazowapelekesha basi wanadhani sisi hatuna pisi kali..
But sisi tuko real katika jumbe tunazoziwasilisha hapa..
Haijalishi unadate na pisi ambayo rangi yake imeiva haswaa na macho yaliyolegea kama inazama.
Na mzigo wa haja kwa nyuma kiasi ukikaa kwenye khanga unabubujikwa na furaha tele ukiuona.
Unatakiwa utambue kuwa muda wa wewe kumfaidi ni huo aliopo mbele yako maana mawazo yake yanabadilika muda wowote bila sababu yoyote ile ambayo wewe utaiona inafaa yeye kuondoka kwako.
So enjoy it while it lasts dont try to your best just to posses her
Maana mitongozo anayopokea kwenye simu yake mingine ni ya watu ambao wamekupita mbali kwa vingi na wengine umewapita pia lakini watamuotea one time at a time..
 
Baharia nakufatilia kitambo tu hukosei...ukiona demu anaanza kuweka ratiba zake ujue ana mpango wake kando ya wewe.
Niliwai kuwa na manzi mwanzoni alikuwa anataka tuonane mara kwa mara ila alipoona siku zinakwenda mfukoni sieleweki nikaachwa kwa vitendo sio maneno.
Leo mambo yamebadilika kidogo matatizo madogo sina anarudi kwa 5G mzigo naletewa hata kama sijamwita.
Thanks mkuu..
Kanuni ni ndogo tu hapa hakikisha unapoingia kwenye mahusiano na mwanamke unajitahidi kujua goals zake kwako..
Ukishazijua tu weka mikakati na piga ibada zote ili kuhakikisha goals zake hazipati kwako kamwe.
Maana asipozipata atapoteza muda zaidi kuendelea kukaa kwako akivizia ufanye mistake apate goals zake. Ambapo ule muda anaopoteza kukuwinda uingie kwenye mfumo wake kwako ni faida maana unamfaidi.
Maana akikipata anachokitaka kwako ataondoka na bado akikikosa anachokitaka kwako atagiveup na kuondoka.
So results ni zile zile akose ama apate.
So akikosa atakuchukia sana maana yeye ndio looser na atakuwa willing hata kutake another phase ili ajaribu tena akidhani labda phase one alimiscalculate.
Lakini akaikipata atajiçonsider hero sana na amewin na wewe umeloose ndio ile unakuta manzi anajisifia kwa wenzake either saloon or somewhere else.
"Mimi sishindwi nikiwa nataka kitu kwa mwanaume yaani hata kama ni kwa kumfanyia nini lazima nihakikishe nafanikisha kupata nachohitaji"

Prey on them, while they hunt for what you have.
 
Mkuu wanawake hawana mambo mengi isipokuwa sisi wanaume ndio tunakosea.

Tunapenda ku compete na wanaume wenzetu, yaani unataka uonekane wewe bora kuliko mwanaume mwenzako.

Hapo sasa ndio unajikuta unatumia gharama nyingi ili mwanamke abaki kumbe ndio unampoteza mwanamke taratibu na mwisho wa siku utagundua vitu vyote ulivyomfanyia mwanamke wako was for nothing.

Mwanamke wa kumuwezesha zaidi ni yule ulie mzalisha tu na hawa wengine ni wa kuwapa mahitaji muhimu.

Uzuri wa haya mambo ni kwamba umeongea na watu wamekuelewa lakini hawataacha kufanya ujinga, utasema tena na wataelewa tena na bado hawataacha yaani mpaka dunia inafika mwisho.
 
Look at this moron!!!
What is kuzaa nae? Does it change anything from a woman?
Lets call a spade, spade.
 
Mkuu wanawake hawana mambo mengi isipokuwa sisi wanaume ndio tunakosea.

Tunapenda ku compete na wanaume wenzetu, yaani unataka uonekane wewe bora kuliko mwanaume mwenzako.

Hapo sasa ndio unajikuta unatumia gharama nyingi ili mwanamke abaki kumbe ndio unampoteza mwanamke taratibu na mwisho wa siku utagundua vitu vyote ulivyomfanyia mwanamke wako was for nothing.

Mwanamke wa kumuwezesha zaidi ni yule ulie mzalisha tu na hawa wengine ni wa kuwapa mahitaji muhimu.

Uzuri wa haya mambo ni kwamba umeongea na watu wamekuelewa lakini hawataacha kufanya ujinga, utasema tena na wataelewa tena na bado hawataacha yaani mpaka dunia inafika mwisho.
Hata ukishindana na mwanaume mwenzako haiondoi ukweli kwamba mwanamke anaingia kwenye mahusiano akiwa na ajenda zake, possibly ni kupata mahitaji ambayo hawezi kujitimizia mwenyewe au kukutumia kama ngazi ya mafanikio.

Kuna situations ambazo unaweza ukafikiria kumuwezesha mfano uyo mama mtoto uliesema kwa sababu atakachopata hata mtoto wako atanufaika nacho pia.

Kuhusu kuelewa na bado kufanya makosa yale yale ilo halitakiwi kukuumiza kichwa. Katika safari yoyote ya kuelekea kaanani lazima kukubalina na ukweli kwamba kuna wenzetu tutawaacha njiani.

Vile vile mifumo ya mwanamke ku-survive kupitia jasho, damu na maumivu ya mwanaume ilishasimikwa miaka mingi sana nyuma, kwaiyo lazima tukubali kwamba mabadilikio hayataonekana kwa kipindi kifupi. Hii ferminism world tunayopingana nayo mpaka ije kuteketea kabisa uenda baadhi yetu tunaweza hata tusiwepo tena hapa duniani, lakini maandiko yetu yataishi.
 
Upo sahihi mkuu.
 
Bandiko limekaa kiupinde kisenge yaani..
Unamaanisha yaani wanaume tuwe tunaomba K kwa wanawake siku zile kabla ya wao kuingia period maana ndio wanakuwa kwenye joto haswa..
Halafu nikuulize swali ndugu mjuaji na mtetezi wa wanawake..
Vipi pale mwanzo wa penzi unakuta mwanamke ndio mhitaji mkubwa wa sex hasa akishakuelewa mjuba??
Yaani inakuwaga hakuna excuse mnaweza mkapiga show hata throughout the month mpaka atakapoingia period.
Hapo unataka kuniambia mwanamke huwa anatumia mechanism gani?
Oyaa blood umezingua kuleta issue petty kama hii kuipinga post ya mwamba..
Broo we unafanya counselling kuhusu mahusiano ya watu?
Mimi nina ushahidi wa kutosha kuwa wanawake huwabania K*ma wanaume most of the time kama unataka sema nimwage hapa namna ya kuwakamata wake zetu ikiwa wanapitia hizo changamoto au laa ni kwamba wameamua tu kuzingua..

Speaking and giving facts about what I have witnessed and faced more than once and some tricks I used to encounter these situations to different women..
Wewe hujawaelewa tu. Unatakiwa wewe na mkeo muwe marafiki wa karibu sana, then utaona nilichoandika kina'make' sense. Wanaume wengi wanaishi kijanja Jana na wake zao. Wanandoa wa aina hii hawana wapi wapo tu - mchepuko (mume au mke) nje nje. Hawa wameshakata tamaa, hata uwashaurije wanaona unawadanganya/hawaamini kama unachowashauri haiwezekani.
 
Mawazo ya wanaume wengi ni kwamba wake zao wanawakatalia sex. Baadhi yao wadhani yeye akitaka tu (mfano muda huu) na mke wake inabidi atake pia, la sivyo kutakuwa na vurugu. Mke wake akisema hajisikii, mume wake anadhani anachukuliwa na watu wengine. Someni 'psychology' ya watu mjue haya mambo yanaweza kufanyika muda gani na mnatakiwa muweje. Nina idea ya mambo haya kwa sababu huwa nafanya 'counselling' albeit informally. Baadhi ya watu wananishirikisha mambo yao na tatizo kubwa ni 'misunderstandings' katika ndoa: mume anataka na mke wake hayuko tayari muda huo. Wanaume wengine huwabaka wake zao kwa sababu ya kukosa subira au kutokuwa wastaarabu (bado ni primitive).
Be nice to a woman at your own risk.
 
Wewe hujawaelewa tu. Unatakiwa wewe na mkeo muwe marafiki wa karibu sana, then utaona nilichoandika kina'make' sense. Wanaume wengi wanaishi kijanja Jana na wake zao. Wanandoa wa aina hii hawana wapi wapo tu - mchepuko (mume au mke) nje nje. Hawa wameshakata tamaa, hata uwashaurije wanaona unawadanganya/hawaamini kama unachowashauri haiwezekani.
Mkuu ndoa ni taasisi ambayo inalinda masilahi ya mwanamke, mwanaume usipocheza kwa step basi uyo mwanamke kukuacha salama afanye uungwana tu
 
Back
Top Bottom