dili ni halali mkuu..na hio cost benefit unaitafutaje mkuuTujue kwanza dili ni halali au haramu?? kama dili li halali basi lazima ufanye cost benefit analysis (Faida na hasara)
na kama dili ni haramu hakikisha other party anaridhika kwa utakachompa kama Ganji
BCR = Discounted value of benefits/ discounted value of costs.Tujue kwanza dili ni halali au haramu?? kama dili li halali basi lazima ufanye cost benefit analysis (Faida na hasara)
na kama dili ni haramu hakikisha other party anaridhika kwa utakachompa kama Ganji
dili ni halali mkuu..na hio cost benefit unaitafutaje mkuu
Sasa kama deal yenyewe faida ni 10% akikupa wewe yeye anabaki na nini?!Asilimia Kumi(10% percent) nadhani ndo nitakachotaka kama kamisheni...so hapo ni milioni moja au moja point tano.
Duh! 10% ya chochote kile, let's say 10% ya 1,000 ni 100! Sidhani kama kuna deal za zero profit hilo halipo!Sasa kama deal yenyewe faida ni 10% akikupa wewe yeye anabaki na nini?!
10% ya faida au 10% ya thamani ya dili? Mfano umenunua gari 14.5M ukaliuza 15M mimi niliyekuletea mteja utanipa 10% ya 15M au 500K ?
Duh nimekwambia faida ya huyo mtu ni 10% kwenye hio deal ya 10m hawezi kukupa wewe 10%. Au useme 10% ya faida.Duh! 10% ya chochote kile, let's say 10% ya 1,000 ni 100! Sidhani kama kuna deal za zero profit hilo halipo!
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
10% ya thamani10% ya faida au 10% ya thamani ya dili? Mfano umenunua gari 14.5M ukaliuza 15M mimi niliyekuletea mteja utanipa 10% ya 15M au 500K ?
Mzee huoni hasara hapo?10% ya thamani