Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Wakuu, poleni na msiba wa kitaifa uliotukumba, pia tunashukuru Mungu Mheshimiwa Lissu amerejea nchini mwake salama akiwa hai.
Tukiachana na hayo, embu tupeane ushauri hapa, kua ukimpa mtu dili la milioni tuseme 10 au 15.
Kamisheni ambayo ni itakupendeza utataka iwe kiasi gani?
Asanteni.
Tukiachana na hayo, embu tupeane ushauri hapa, kua ukimpa mtu dili la milioni tuseme 10 au 15.
Kamisheni ambayo ni itakupendeza utataka iwe kiasi gani?
Asanteni.