Ukimpata mchumba ana miaka 50 anasema umpa muda atafute pesa kuna muoaji hapa?

Sasa utakuwa ulimpendea nini Sky?

Alikushauri vizuri?

Maana navyoelewa uhandsome umeshamuisha.

Kuvaa ameshasahau.

Mistari tq kutongozea ishazeeka.

Mtu wa miaka hiyo umkubalie umemkuta ndani ya mansion au ndinga kali.
 
Sasa huyu anaishi kwenye chumba kimoja katika nyumba ya vyumba sita. Akifungua mlango wa chumbani anatazamana na mlango wa jirani yake.
Ndinga lake mwendo kazi.
 
Huwa wanasema mafanikio hayana umri. Watu wawili maarufu sana waliowahi kuishi hapa duniani ni Jesus Christ na mtume Muhammad.

Wakati Jesus alipata umaarufu wake akiwa mtoto na akaishi miaka michache sana hapa duniani. Muhammad yeye alipata umaarufu akiwa ameisha kuwa mtu mzima kabisa lakini aliishi miaka mingi zaidi sana ya Jesus.

Hivyo hivyo kama ulivyo umaarufu, hata, utajiri pia hauna umri. Kuna wanaopata mapema na kuna wanaochelewa na kupata baadae sana huko uzeeni.
 
Siongelei utajiri lakini kama miaka 50 hujui kesho utakula nini huoni kuwa ni hatari hapo?
 
Ndiyo inaleta ukakasi na inafikirisha sana lakini sasa mtu afanyeje? kama mambo yake yamekuwa hivyo hakuna namna zaidi ya kuendelea kupambana na kusubiri kwa matumaini aone kesho yake itamjia na nini?

Vinginevyo ukifikiria sana hayo mambo ambayo kwa kweli wakati mwingine yako nje ya uwezo wetu kama binadamu, unaweza jinyonga bure!!

Ndiyo maana kuna ndugu yangu mmoja mwalimu akawa analalamika ugumu wa maisha. Nikamwambia ashukuru yeye ni mwalimu, angeweza kuwa hata wale wanaotembeza dawa ya mende/mbu ila kwa mapenzi ya Mungu amekuwa mwalimu bado analalamika.

Jamani watu wote hatuwezi kuwa matajiri hivyo wakati mwingine tushukuru tu kwa nafasi zetu za kimaisha tulizojaariwa. Japo wengi wetu tunalalamikia status zetu mbovu za kimaisha kuna wengi nyuma wanaangaika na kutamani walao wangekuwa pale tulipo!!
 
Hata kama ulianza kulima ukiwa na miaka 25, miaka 50 utakua unamiliki mugomba ya ndizi na kuku.
 
Maisha hayana fomla unaweza pata mafanikio ukiwa kijana lakini ukazeeka ukiwa masikini kabisa, unaweza kuteseka ukiwa kijana ukapata mafanikio ukiwa mzee,,, Kwahiyo tumshukuru mungu kwa kila jambo, ishi maisha yako halisi, usitake kuishi maisha ya.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni UZEMBE !

Yaani una miaka 50+

- Mzima Wa Afya
- Hujaugua ugua sana kwenye maisha yako
- Huna ulemavu wowote

Bado unakula kwa #Tabu Tubu aisee!

Hata kupanda shamba la mikorosho ulishindwa ?
 
Hata kama ulianza kulima ukiwa na miaka 25, miaka 50 utakua unamiliki mugomba ya ndizi na kuku.
Mkuu hata kulima siyo unaaza tu kulima! Unalima ardhi ya nani kama huna pa kulima? Pia kuna wengi walianza kulima hata kabla ya hizo miaka 25 lakini at 50yrs hata huo mgomba hawana.

Hii iko kote kote hata kwenye biashara au hata elimu/ajira kuna watu walishafanya biashara na labda wakapata pata kidogo lakini baadae wakaanguka na kwa sasa hawana kitu. Au elimu kuna watu wamesoma lakini mpaka leo wapowapo tu miaka inapita awaoni ndani. Kuna waliokuwa na kazi zao zikabuma, wako kitanzini. Ndiyo maana nikasema kuna hali flani inatupata nje ya uwezo wetu kama binadamu hivyo ukiona unapata laki tatu nne shukuru tu Mungu usikalie kulalamika kwa nini upati zaidi na wala usidhani wewe unachopata basi ni mjanja na wote wasiopata kama hicho ni wazembe.

Ndiyo kama binadamu inabidi tuweke jitihada katika kazi ili tujikwamuwe kimaendeleo, lakini haimaanishi kuwa lazima kila jitihada itazaa matunda kadiri ya matarajio. Jitihada nyingi mno zina-bounce.

Ndiyo maana huwa najisemea hata mimi kama siyo neema ya Mungu iliyonifikisha hapa ningeweza tu kuwa muokota makopo ya plastic kwani kama binadamu sina chochote ninacho wazidi wale wanaoyaokota basi tu Mungu amenipangia kwa sasa niwe hapa nilipo.
 
Back
Top Bottom