Hahahaha miaka 50 bado anatafuta maisha? Miaka 50 ni muda wa kulea wajukuu ili uwape nafasi vijana wako wa_enjoy alone huku wakitafuta wajukuu wengine!! Miaka 50 inatakiwa uwe kwenye Backyard umevaa msuli unakula kimvuli,Miaka 50 inatakiwe uwe kwenye balcony unakula upepo,miaka 50 inatakiwa uwe unapigiwa simu za kuletewa mapato ya biashara zako,miaka 50 inatakiwa umetulia home na kuwa na dereva wa kukupeleka kutembelea miradi yako , miaka 50 inatakiwa uwe muda mwingi upo kwenye nyumba za nje ya mji ,miaka 50 inatakiwa ..........