Ndugu, maisha ya kuwa nacho au kutokuwa nacho ni mchakato siyo straight away kama unavyodhani. Kama wewe umefanikiwa straight away na ukaweza ku-maintain usidhani huo mfumo wako wa maisha una-apply kwa wote. Hivyo wale wasiokuwa nacho kwenye late years za maisha yao basi ni wazembe, hapana. Kwa ufupi soma hata comment ya Dukani hapo #17.Huo ni UZEMBE !
Yaani una miaka 50+
- Mzima Wa Afya
- Hujaugua ugua sana kwenye maisha yako
- Huna ulemavu wowote
Bado unakula kwa #Tabu Tubu aisee!
Hata kupanda shamba la mikorosho ulishindwa ?
Zaidi ya hatariSiongelei utajiri lakini kama miaka 50 hujui kesho utakula nini huoni kuwa ni hatari hapo?
Mzee wa 50 anapokugeuza buzzWazee wengine wanatushinda tabia
Ngoja nirudi kwa kijana mwenzangu potelea mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa mzee wa 50 unatafuta mapenzi au nini? Unakwenda kwa 50+ mwenye maisha yake, anakupeleka Zanzibar hata IST kwa Birthday President si haba.Binafsi nilidhani ukiwa na mzee wa 45 kuelekea 50 anakuwa amemaliza dhambi za dunia hivyo anaamua kutulia Kumbe sikuwa sahili. Niliwahi kukutana na mzee wa hivi ni kwamba Ana uhakika tu wa kula Ila Hana utajiri......jamani ni kiwembe hatare....sket haimpiti nikasarenda nkajisemea Kumbe unavyodhani ndivo sivyo
Hivi kwa mzee wa 50 unatafuta mapenzi au nini? Unakwenda kwa 50+ mwenye maisha yake, anakupeleka Zanzibar hata IST kwa Birthday President si haba.
Sasa kama ana uhakika wa pesa ya kula huko kwa bed ana nguvu kweli?
Mbona sio lazma umpende Ww? Kuna wanao hitaji kupata Sitara hawatojali yaliomo ndani ya mfuko wakeMiaka 50 hana pesa ataipata lini? Alifanya nini duniani katika miaka yake 50?
Hahahaha miaka 50 bado anatafuta maisha? Miaka 50 ni muda wa kulea wajukuu ili uwape nafasi vijana wako wa_enjoy alone huku wakitafuta wajukuu wengine!! Miaka 50 inatakiwa uwe kwenye Backyard umevaa msuli unakula kimvuli,Miaka 50 inatakiwe uwe kwenye balcony unakula upepo,miaka 50 inatakiwa uwe unapigiwa simu za kuletewa mapato ya biashara zako,miaka 50 inatakiwa umetulia home na kuwa na dereva wa kukupeleka kutembelea miradi yako , miaka 50 inatakiwa uwe muda mwingi upo kwenye nyumba za nje ya mji ,miaka 50 inatakiwa ..........Miaka 50 hana pesa ataipata lini? Alifanya nini duniani katika miaka yake 50?
50 bado dogo huyo.muache atafute msishsMiaka 50 hana pesa ataipata lini? Alifanya nini duniani katika miaka yake 50?
Miaka 50 hana pesa ataipata lini? Alifanya nini duniani katika miaka yake 50?
ππΊπΎππ
Je watu wote unaowajua wenye miaka 50 ama zaidi wanayo mafanikio hayo?Hahahaha miaka 50 bado anatafuta maisha? Miaka 50 ni muda wa kulea wajukuu ili uwape nafasi vijana wako wa_enjoy alone huku wakitafuta wajukuu wengine!! Miaka 50 inatakiwa uwe kwenye Backyard umevaa msuli unakula kimvuli,Miaka 50 inatakiwe uwe kwenye balcony unakula upepo,miaka 50 inatakiwa uwe unapigiwa simu za kuletewa mapato ya biashara zako,miaka 50 inatakiwa umetulia home na kuwa na dereva wa kukupeleka kutembelea miradi yako , miaka 50 inatakiwa uwe muda mwingi upo kwenye nyumba za nje ya mji ,miaka 50 inatakiwa ..........
Mkuu tuongee ukweli mchungu ,miaka ya 20s -30's hapa kama ramani haisomi lazima ikifike 50 bado mtu atakuwa anatafuta maisha!! Wengi wanatusua kwenye late 20's and early 40's.Je watu wote unaowajua wenye miaka 50 ama zaidi wanayo mafanikio hayo?
Kama wewe umepata sio kwamba wewe ni mjanja sana ama ni mtafutaji sana,ni rehema tu za Mungu.
Na yeye sio kama kukosa ni mvivu na sio mtafutaji,pia ni rehema za Mungu tu.
Sidhani kama kufika 50 ndio akate tamaa.
My kumpata mtu mkiwa kwenye 30βs mnaweza kuwa na malengo na pesa ikawafuata mkiwa kwanye ndoa. Sasa in 50βs bado mko kwenye chumba cha kupanga mnamatumaini ya kuwin bingo hapo panahitaji msaada wa sala na maombi.Pesa kwenye nafas ya kuoa.
Imekaa tofauti tofauti kwa baadhi ya wanaume na wanawake.
Kuna wanawake wengine wanaamin upendo kwanza then pesa inatafutwa ndan ya ndoa.
Wengine hawawez kuolewa na mwanaume ambaye hana pesa.
Na kuna baadhi ya wanaume Pesa kwanza then atafute ndoa.
Na wengine ndoa kwanza hela mdogo mdogo.
So kila mtu na uelewa wake.