Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndo uendelee kuumia kwa vitu visivyotakiwa kuumiaAcha kujifariji hakuna kitu kinaumiza kama kusikia manzi yako analiwa
sina tatizo as long as mmegaji hachomoki na hiyo ndude.Wewe kumegewa unapenda
YapNa kwenye ndege hamna ungese wa kutongoza wake za watu,kila mtu anawaza juu ya uvumbuzi wa masuala muhimu na ya msingi.
Terminology kuchapiwa si sahihi. Swali sahihi la kuniuliza ni mwanamke mzinzi ni sahihi kwangu? Jibu ni hapana.Kwaio wewe kuchapiwa unaona fresh tu
Au umetoka kumla kuanzia asubuhi mpaka saa tisa ya alasirl, mda huo huo unamwacha anenda kugongwa na mwingine, hii ni tabia,Mwanamke wako kama “beki hazikabi” anaweza kwenda kuvua chupi mtaa wa pili tu hapo huku kakuacha ndani unaangalia TV
Ni tabia tu na wala sio sijui sound au mchoko wa safari
Umepata faida gani kuwala hao watano. Utoto raha sanaHizi ni safari zote zinazotumia muda mrefu kwenye basi kama za kutoka Dar-Mwanza, Dar-Kagera, Dar-Tabora, Dar-Kigoma na kadhalika.
Ndugu zangu nawaambia unapomruhusu hizi safari awepo mwenyewe bila uwepo wako basi unamegewa kila siku.
Mimi binafsi nishasafiri hizi safari zaidi ya mara tano na mara zote demu ninayekaa nae siti moja lazima aliwe.
Unakuta gari inafika saa 7 hadi 8 za usiku muda ambao ashapigwa sound zamani kwaio wewe ni kumshika mkono tu na kusogea zenu nyumba ya wageni.
Yaani tena hata kama ukimtuma mtu wa kumpokea kazi bure techniq wanayoitumia utaambiwa kuna rafiki yangu kaja kunipokea hapo ndo ushike kichwa kabisa unachapiwa.
NAISHIA HAPO MSIJE MKASEMA HAMKUAMBIWA