Ukimsalimia mtu na asijibu, maneno gani huwa unesemea kimya kimya

Ukimsalimia mtu na asijibu, maneno gani huwa unesemea kimya kimya

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu.

Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho.

Mimi kwa mtu ninayemfahamu mara nyingi huwa

"HUYU mama siji kumsalimia tena huyu mpuuzi"
 
Vipi kwa wale ambao kwa hakika wamekusikia kabisa?

Tena anakuangalia kama kwa dharau hivi halafu anaendelea na shughuli zake!
sasa hapo inabidi utulize shobo ata ukikutana nae tena ni mavi mavi...
 
"Huyu mama au anadhani tunalingana ndio maana hataki shikamoo yangu,,, ngoja nije nimtongoze"
 
Sinaga time ila kama ni mtu nakufahamu nikikusalimia ukauchuna afu tukaja tukakutana tena mara ya pili nikasalimia ukauchuna tena! Sio tabu sikusalimii tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sinaga time ila kama ni mtu nakufahamu nikikusalimia ukauchuna afu tukaja tukakutana tena mara ya pili nikasalimia ukauchuna tena! Sio tabu sikusalimii tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
😂😂😂
 
Back
Top Bottom