Ukimsalimia mtu na asijibu, maneno gani huwa unesemea kimya kimya

Pita huko, kwanza huna hata hela, tusitishiane maisha
 
"Daah kweli shobo mbaya sana"
😂😂😂Ila fikra bana afu unaweza Kuta you're totally wrong ukute hajaskia/mawazo mvurugano nakumbuka Kuna mtu alinisalimia ila nilikuja kuitikia baada ya dk2 kupita Yani I know kanisalimia but sijui nilikuwa nawaza nini
 
😅😅😅
 
Back
Top Bottom