Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

Ishi maisha yako acha kukariri mambo,
 
Mkuu kumuelimisha mtu ambaye shikri imekaa kichwani ni ngumu sana
Huyu kaja kwa nia ya kusoma upepo ili baadae washikaji zake wasapoti alafu ageuke kwa kujifanya anaweza kuwasaidia wenye matatizo. Sasa tunamkata upepo mapema
 
Wachawi na waganga walikuwa wa zamani..sahivi miyeyusho tu

Waganga wa sahavi nikama madalali wa kariakoo. Wanawaza pesa na kuibia watu.

Kuwa makini uchawi upo
Dawa za asili zipo
Waganga wa kweli wapo

Yotekwa yote MUNGU ndio nguvu kuu kuliko zote. Na ndiko amani na utulivu wa nafsi na moyo unapatikana
 
Huyu kaja kwa nia ya kusoma upepo ili baadae washikaji zake wasapoti alafu ageuke kwa kujifanya anaweza kuwasaidia wenye matatizo. Sasa tunamkata upepo mapema
Wanasimuliana kijiweni uwongo huku wakipata kahawa
 
Kuamini story za kusadikika za uchawi ni upungufu wa akili.
 
Vitu vingine ni uwongo kabisa mimi niliwahi fanya kazi Handeni kipindi hicho niliishi nao vizuri mno maana hakuna sehemu tutakwazana...na walikuwa wananipa dili za kupata mbao kwa bei nzuri nikitaka kwenda daslm kusalimia familia kuku wa kumwaga mpaka mbuzi kwa bei ya chini kabisa ishi na jamii vizuri upate matunda...
 
Kwa kina January makamba huko
 

Ulibahatika kununua shamba heka 50 ila kwa sasa umefanikiwa unalima “mpaka heka 60”....

Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…