Kwa kushindwa kujibu masuali anaelezea tu historia ya chama zaidi na kutafuta huruma kwa wa TanzaniaFreeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Bado humuelewi mnataka kuwa na kiongozi gani, ushabiki wa mpira ni tofauti na ule wa siasa, kwanza kwenye siasa hakuna ushabiki.Kwa kushindwa kujibu masuali anaelezea tu historia ya chama zaidi na kutafuta huruma kwa wa Tanzania
Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
We tuambie kajibu suali gani kifasaha? Acha kumpigia debe tu bila ushahidi kauliza suali kwamba uongozi ulitowa mianya mpaka siri za chama zikavuja alijibu je?Bado humuelewi mnataka kuwa na kiongozi gani, ushabiki wa mpira ni tofauti na ule wa siasa, kwanza kwenye siasa hakuna ushabiki.
Huu upotoshaji mmeupata wapi!Taabu CV ndugu.
Bila mapendeleo mkono mtupu ulambwe vipi?
Lissu 3, Mwamba 0!
Nakubaliana na wewe,Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Harakati zinahitaji Pysical Worrior, bahati mbaya nyie ni ma Keybord worrior, Lisu mnataka aandamane mwenyewe?We tuambie kajibu suali gani kifasaha? Acha kumpigia debe tu bila ushahidi kauliza suali kwamba uongozi ulitowa mianya mpaka siri za chama zikavuja alijibu je?
Huu upotoshaji mmeupata wapi!
Wapiga kura ndiyo waamuzi hiyo tarehe 21 January hii.Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Nimemsikia mpaka saa 3:00.Freeman Aikael Mbowe alishavuka hatua za uanaharakati. Ni mwanasiasa aliyeiva. Ana kipaji na haiba ya kuongoza nchi tena kwa siasa za kistaarabu na weledi mkubwa. Kumshindanisha Mbowe na Lissu ni makosa makubwa! https://www.jamiiforums.com/data/video/5924/5924214-d7f6d74c3b617dc13d0919f850576eeb.mp4
Lissu mropokaji unafikiri anaweza kuingia kwenye diplomatic dialogue na Freeman Mbowe?Mwambieni atokee kwenye mdahalo kama mnampenda
Harakati zinahitaji Pysical Worrior, bahati mbaya nyie ni ma Keybord worrior, Lisu mnataka aandamane mwenyewe?
Nimemsikia mpaka saa 3:00.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise
Mbona Sultan amekwepa mdahalo na Lissu?Lissu mropokaji unafikiri anaweza kuingia kwenye diplomatic dialogue na Freeman Mbowe?