Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Hakuna swali mkuu umetoa majibu. Waliipo madarakani ndio wana kula.rushwa. wanaua wanaiba rasilimali nk wanamtandao
 
Tena siku hizi kwa sababu baadhi ya vyeo vya juu vina kinga,unawezakuwa na jeuri,wanachofanya wanamark kizazi chako tu,hao watoto hakuna kazi watapewa,wakifungu biashara ni mizengwe na figisu,hakuna connection watapewa.
Huna pa kuchomokea.
Hawa viongozi wa vyombo vya ulinzi hasa ngazi za juu wanastaafu na mengi wanajua mengi wamebeba mengi. Ila kwa usalama wako na kizazi chako wanaamua kukaa kimya wanakufa na Siri zao
 
Back
Top Bottom