Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vinamlinda RAIS.

Kama hamtaki kuamini, jiulizeni yuko wapi Soka na wenzake.

Jiulizeni, kwa nini tunatumia majina bandia humu?
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Kuna mahali nimesoma humu kuwa helkopta za CCM za uchaguzi ni mali ya jeshi -JWTZ
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Anayeweza kumsikiliza huyo nguchiro ni mwendawazimu km wewe
 
Vyombo vya Ulinzi vinafanya kazi zao vizuri sana, sema japo Wahuni wachache ambao ndio viongozi wao wakuu wanawasiliti wenzao kwa kula na fisadi angalia maisha ya IGP, CDF na DGIS ndio utajua wahuni wana nguvu kiasi gani?

Hata mwenye nyumba kuu' amewavuta karibu ili kumlinda hakuna asiyefahamu hilo.
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Kwani wewe na akili zako timamu (kama unazo lakini) unaamini porojo za Polepole?
 
Nchi yoyote ambayo Rais anachukuliwa kama boss,lazima kuwe na aina hii ya matokeo.

polisi=rais ni mwamuzi wao wa mwisho kabisa(amiri jeshi)
Ofisi ya rais/tiss= rais ni boss na pia mfadhiri🤣🤣.
takukuru=rais ni boss wao wa mwisho.

Na asiwadanganye mtu kwamba kuna taasisi inaweza mbishia rais au ccm hapa bongo land,haipo kabisa.
 
Back
Top Bottom