Mabeyo alicheza kama Pele kuhakikisha Samia anakuwa rais wa awamu ya sita. Huyo sukuma gang anaendelea kupaparika kama kuku anayekata roho, atasema kila ujinga anaoweza kuutamka muda huu.Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Pia ni mpango mkakati wa serikali, kumbuka kuwa Lissu muda huu halali nyumbani kwake analala lupango na hiyo habari haipendwi kimataifa.Write your reply...vijana wengi mtandaoni wanaamini chochote wanacho ambiwa bila hata kuchunguza
Usalama wa taifa ubadilishiwe mifumo hasa kuanzia hatua za kuajiri watumishi wake, haya mambo ya kupeana ajira kwa kujuana matokeo yake ndiyo haya nchi inakuwa very corrupt and no one cares.Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
🤣 🤣Vyombo vya ulinzi na usalama vinamlinda RAIS.
Kama hamtaki kuamini, jiulizeni yuko wapi Soka na wenzake.
Jiulizeni, kwa nini tunatumia majina bandia humu?
MsogaYaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Mafia state,if people can conspire and get rid of a sitting president.Who is safe?Wakuu tunajua mnapita humu jitafakarini.Je nyie mko salama kiasi gani?mahakimu,majaji nnaopigiwa simu moja tu mko salama kiasi gani?Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
kuna mtu aliambiwa "hapa sisi huwa tunapiga, kama huwez kupiga rudi ulikotoka" baada ya kuhamia idara nyingine.Unaambiwa uchague kulamba asali au kufa (jokes) we unachagua kipi apo
Hao unaoita vyombo vya usalama sijui wa taifa ama Nchi hayo siyo majukumu yao.Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Jibu la mada yako ni huo mstari.Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Hao wote uliowataja ni wateule wa raisi. Huna haja ya kula na kila mmoja wao !!Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?
Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?
Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.
Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.
Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Wewe umekuwa na akili za kuwaambia wengine kuhusu akili zao toka lini?Kwani wewe na akili zako timamu (kama unazo lakini) unaamini porojo za Polepole?
Unaambiwa uchague kulamba asali au kufa (jokes) we unachagua kipi apo
Genge ni hatari...Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?