Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Yuko vizuri sana. Nafikiri kufanya na Magu pia ilimwongezea maarifa zaidi. Ila ni mtu anayependa kujifunza pia.
Kabisa, though ana mapungufu yake ila akifanya na watu walionyooka kama Lissu, kwa kweli haki itatawala na kila mtu ataipenda serikali

Watu wapatie haki zao tuu, mengine yote yatakuja yenyewe pale ambapo haki inatawala, means watapata maendeleo vile hakuan kiaongozi atapatikana kwa nyia za rushwa
 
JWTZ NA VYOMBO VYOTE VYA ULINZI VINATAKIWA KUVYUNJWA NA KUUNDWA UPYA NA AZIMIO LA ARUSHA LIRUDI KWA WOTE WENYE UTAJIRI WA ZAIDI YA DOLA MIL4 WAFIRISIWE
Shida sio hivyo vyombo.

Tunaona vimestack ni matokeo ya mfumo mbovu uliopo,hata sheria au katiba imepoteza kabisa makali yake ipo kama picha tu.

Mpaka mtu aliyeamua kuilinda katiba(cdf mstaafu) leo anakuja kuonekana hamnazo kwa sababu tu aliyempigania ni kyande.
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Waliopo ikulu, bungeni, vyombo vya usalama, ndio mafia na majizi, wenyewe,
 
Vyombo vya usalama vijitazame wao ndio wazalendo namba moja wa kutuonyesha mfano wengine..!!

Hii imeniuma sana, ukifatilia siasa maumivu ni mazito mno kuona nchi inaliwa km haina mwenyewe 😭
Chukua hatua kali, kupata maumivu mazito pasipo kufanya jambo zito kubadili upepo si sahihi.
 
Viko compromised. Sikutegemea huyu mama angetufikisha huku. Waliokataa katiba ifatwe alipokufa Magu walimjua haswaa
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Mkuu wa kamati ya ulinzi akiwa ana mkingia kifua lostaam Aziz
 
Shida sio hivyo vyombo.

Tunaona vimestack ni matokeo ya mfumo mbovu uliopo,hata sheria au katiba imepoteza kabisa makali yake ipo kama picha tu.

Mpaka mtu aliyeamua kuilinda katiba(cdf mstaafu) leo anakuja kuonekana hamnazo kwa sababu tu aliyempigania ni kyande.
Hayo ni matokeo ya watu wasiofaa kukalia viti ...hivyo mojawapo la kufanya ni kuvunjwa kwa hivyo vyombo
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Tlaatlaah , Lucas Mwashambwa 😁
POLE POLE KASEMA CUBA MTUNGI WA GESI WA KILO 20 UNANUNULIWA 2000/= ZA TANZANIA.

Huku sisi mtungi wa 15kg
ROSTAM ANATUUZIA 58,000 MPAKA 60,000 HUU NI WIZII MKUBWA SANAAAAAA

NB. POLE POLE AMEWAI KUWA MBUNGE, MWENEZII WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA BALOZI WA CUBA...

KWAIO NYINYI MNATUONA SISI NI MANYANI KWAIO TUMPUUZE POLEPOLE EEEEEEEE

SALAMALEKO.
 
Shida ipo kwa wananchi wenyewe kuliko hata hivo vyombo. Kama hatuwezi kuamka kama nchi hakuna kitakachobadilika.
 
Mafia state,if people can conspire and get rid of a sitting president.Who is safe?Wakuu tunajua mnapita humu jitafakarini.Je nyie mko salama kiasi gani?mahakimu,majaji nnaopigiwa simu moja tu mko salama kiasi gani?
Hapo maana yake unawashauri waache kazi au?
 
Capitalist world, kosa lililofanyika nikutowaambia watu we are the Capitalist now and no longer socialist republics.

In Capitalist, Oligarchs control everything.
Shida ilianzia pale 1961, we preach socialist while some are capitalist in disguise.

In 90's when we started opening the gate, tayari tulikuwa tunao ndani the Capitalists, some small in Numbers were Africans and majority were whites..
Ikaja the so called privatisation, hapo ndio sarakasi zikawa kubwa maana akili tulikuwa hatuna na wenye akili ni Capitalists ni weupe, they were leaving 2040 in 90's, wakati Sisi tulikuwa tuko 70's..

Leo hii kila Tajiri lazima awe mwizi na mhujumu maana watu wetu wanahitaji kuwa na majumba mazuri Goba, Mbweni, Tabata nk

ndani ya mitaa ya Hodeidah Yemeni.
 
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Vyombo vya usalama niko busy na wapinzani na hasa Chadema. Juko kwingine hakuwahusu
 
H
Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache?

Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe?

Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za kweli, jibu hapa ni moja tu kuwa Rostam anakula na watu kwenye hizi taasisi na ndio maana wanamlinda.

Hamna nchi hapa bali hili ni shamba la bibi kwa asilimia 200.

Labda sasa ni wakati muhimu ushauri wa Askofu Gwajima uzingatiwe hizi taasisi ziwe independent pengine tatizo kuu na la msingi liko katika sheria zilizounda hizi taasisi.
Huoni hata haya kutueleza kuwa unamsikiliza huyo kipapai? Hata mwendawazimu hawezi kumsikiliza. We akili yako imedumaa, mwenye akili kdg tu angejua kuwa huyo mbwa koko hana access na taarifa yyte ya serikali achilia mbali taarifa nyeti. Mpiga debe wa CCM apate wapi taarifa nyeti? Aibu yako! Ht yeye mwenyewe ameshakudharau maana anajua ukweli anachokirusha ni uzushi na uwongo alioutengeneza yeye mwenyewe, subirini siku awatukane watu km wewe live.
 
embu kanusha taarifa za pole pole kwa hoja,2025 hii watu wameelimika,huwezi kuja mbele za watu unaanza tu kuponda wanaotoa taarifa,utawekwa kundi la wanufaika kumbe ni akili tu umekosa hata abdul hakujui.
 
H
Huoni hata haya kutueleza kuwa unamsikiliza huyo kipapai? Hata mwendawazimu hawezi kumsikiliza. We akili yako imedumaa, mwenye akili kdg tu angejua kuwa huyo mbwa koko hana access na taarifa yyte ya serikali achilia mbali taarifa nyeti. Mpiga debe wa CCM apate wapi taarifa nyeti? Aibu yako! Ht yeye mwenyewe ameshakudharau maana anajua ukweli anachokirusha ni uzushi na uwongo alioutengeneza yeye mwenyewe, subirini siku awatukane watu km wewe live.
Kama Rais alimuita wakaongea kwa masaa matatu kuhusu hujuma anazofanyiwa,sasa hizo sio Siri za Serikali?
 
Back
Top Bottom