Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

Hakuna swali mkuu umetoa majibu. Waliipo madarakani ndio wana kula.rushwa. wanaua wanaiba rasilimali nk wanamtandao
 
Tena siku hizi kwa sababu baadhi ya vyeo vya juu vina kinga,unawezakuwa na jeuri,wanachofanya wanamark kizazi chako tu,hao watoto hakuna kazi watapewa,wakifungu biashara ni mizengwe na figisu,hakuna connection watapewa.
Huna pa kuchomokea.
Hawa viongozi wa vyombo vya ulinzi hasa ngazi za juu wanastaafu na mengi wanajua mengi wamebeba mengi. Ila kwa usalama wako na kizazi chako wanaamua kukaa kimya wanakufa na Siri zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…