Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Nategemea mpaka sasa AshaDii uwe umeshaandika vitabu kadhaa vya haya masuala. Upo vyema sana..am happy napata knowledge frm you for free kila siku.
Happy Valentine's ma dia!
 
Inachukua muda sana kujua huyu mtu anamaanisha hicho kitu vinginevyo naona kawaida tu wala sishtuki

...usijali kamanda,"mapenzi sawa na majani,....!"....siku maradhi ya kupendana yakikuvaa utuambie vile vile.
 

Daah......................sijui kwa nini mi macho yangu yameona apo tu. Asante Kaizer na nakutakia siku njema ya siku ya valentino na wewe pia...........najua Ashadii lazima atatabasamu akiisoma hii.......lol
 
Kutongoza ni kazi rahisi kama utajua ni nini unatakiwa kufanya na ni nini hutakiwi kufanya. Pia ni nani unamtongoza kwa kumtambua inakurahisishia kujua ni gia gani uanze nayo. Wadada wengine ukianza kuongea tu anamalizia mwenyewe kwani tayari keshajua unakoelekea.HAPPY VALENTINE KWA WALE WANAOPENDANA KI UKWELI
 
Thank you Kaizer, happy valentine day too. 🙂
I expected something in line with what you have posted before. lol
I am so happy for you, happy valentine day! me naendelea na mpango wango wa ku-MasturDate leo. (yani this word kills me! :lol: )


Thanks alter for your wishes.... halafu hilo neno la Masturdate kalipata wapi King? yaani sijui hua anawaza nini that wifi of mine...lol
 
Naomba vile vile kufundishwa jinsi ya kupenda maana sijui

Hawafundishi kupenda Fidel80, hio iko ndani yetu.... na sometimes hua nje ya uwezo wetu kua yupi umepende na yupi usimpende. Hiivo kama to date bado hujabahatika, haina maana kua huwezi... Lah! ila tu ina maana bado hujampata wa kukufanya roho yako ihahe juu yake... sema pia mioyo hupishana.... wengine ni rahisi kupenda, yaani kila siku anapenda, wengine ni adimu mno.... nahisi kama wewe hapo vile...
 
Nategemea mpaka sasa AshaDii uwe umeshaandika vitabu kadhaa vya haya masuala. Upo vyema sana..am happy napata knowledge frm you for free kila siku.
Happy Valentine's ma dia!


-deeply humbled-
 
Ngoja nikajaribu kwa mwanasha nione ....sio unaleta uongo hapa!!
 
Nimekuelewa mkuu..
 
Thanks alter for your wishes.... halafu hilo neno la Masturdate kalipata wapi King? yaani sijui hua anawaza nini that wifi of mine...lol
Utamweza King? lol
But I entend to be very serious about it. Nimesha pokea sim na message muhimu, sasa this afternoon nimepanga to live a perfect day as defined by Russian Roulette! lol
:focus:
Sasa Shem kaenda wapi tena Alter, tunasubiri huo upande wa pili kwa ajili ya kina mama as promised.
 
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.
 


Hio back topic we will have to discuss it later (hope umeandaa hot tite dress); lol

Jamana alter umesahau leo ni Valentine? Yupo kwenye maandalizi.
 
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.


Happy valentine DaMie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…