Sweetie... well uliponiamsha, I thot nini sasa tena (hali we have already done it...lol); Well... am speechless... I think this kind of gives out a message of one of the few reasons I feel Loved by you.... A wonderful way to start Valentine.... Nikiunganisha na our ratiba the whole day... you can not imagine the anticipation I feel in conjunction with that tangling feeling..... Happy Valentines Love...:busu
Daah......................sijui kwa nini mi macho yangu yameona apo tu. Asante Kaizer na nakutakia siku njema ya siku ya valentino na wewe pia...........najua Ashadii lazima atatabasamu akiisoma hii.......lol
Lazima tuende na wakati, Kwanza ukiona umetumia energy kubwa sana kutongaza hiyo iko proportional na energy utakayoitumia kwenye ku keep that relationship alive. Dont worry about a think, you will find your match without sweat. Msichana mmoja unaweza ukatumia energy kubwa kumtongoza at the same time kuna mwingine hata hamtongozi anavuta tu. Na hizi tricks nimezungumza sana haziko the same kwa kila mtu wengine zote zilizotajwa hata hazitumiki. Kuna msichana mwingine usipomdanganya humpati milele, pale utakapomdanganya tu umempata.
Utamweza King? lol
But I entend to be very serious about it. Nimesha pokea sim na message muhimu, sasa this afternoon nimepanga to live a perfect day as defined by Russian Roulette! lol
:focus:
Sasa Shem kaenda wapi tena Alter, tunasubiri huo upande wa pili kwa ajili ya kina mama as promised.
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.
eby do ze nidiful kuna ujumbe wa muhimu sana ninao, u know what to do..laters
C'mon, you can share more than that...
Kasema it is in preparation, let's be patient Husney.Kuna kinjemba nakifukuzia. Naomba maujanja ankal.
binti una mbwembwe sana ww!
Men don't share. We criticise. Na kama hakuna cha ku-criticise tunaunga mkono hoja kama ilivyo.
Umeona eh? lolWhat a manly response....lol... Nice one!