Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Ukimtaka Mwanamke/msichana...the Do's and Don'ts

Kutongoza ni namna mtu awezavyo kufikisha ujumbe ktk upande wa pili kwa kutumia lugha, ambayo inaweza kuwa ktk namna mbalimbali mfano kwa mazungumzo, ishara, tabasamu nk. Hapa kinachozingatiwa zaidi ni ushawishi haihitaji darasa.
 
Japo kiasi fulani mtu anaweza kujifua kupitia makala na vitabu lakini mara nyingi kutongoza ni tendo la asili huwa linatokea tu.

Asante kwa elimu ulotuletea.
 
Sweetie... well uliponiamsha, I thot nini sasa tena (hali we have already done it...lol); Well... am speechless... I think this kind of gives out a message of one of the few reasons I feel Loved by you.... A wonderful way to start Valentine.... Nikiunganisha na our ratiba the whole day... you can not imagine the anticipation I feel in conjunction with that tangling feeling..... Happy Valentines Love...:busu

binti una mbwembwe sana ww!
 
Daah......................sijui kwa nini mi macho yangu yameona apo tu. Asante Kaizer na nakutakia siku njema ya siku ya valentino na wewe pia...........najua Ashadii lazima atatabasamu akiisoma hii.......lol

Kbd Ukiona hivyo ujue hapo ndo UNAPAELEWA zaidi, yaani pamekugusa...lol Asante happy valentine too😛oa
 
  • Thanks
Reactions: Kbd
Lazima tuende na wakati, Kwanza ukiona umetumia energy kubwa sana kutongaza hiyo iko proportional na energy utakayoitumia kwenye ku keep that relationship alive. Dont worry about a think, you will find your match without sweat. Msichana mmoja unaweza ukatumia energy kubwa kumtongoza at the same time kuna mwingine hata hamtongozi anavuta tu. Na hizi tricks nimezungumza sana haziko the same kwa kila mtu wengine zote zilizotajwa hata hazitumiki. Kuna msichana mwingine usipomdanganya humpati milele, pale utakapomdanganya tu umempata.


Mkuu Mess..nakubaliana kabisa hapo

hapo kwen kudanganyana, tuende mbali zaidi kuona unamdanganya nini? Maana kwa vile kuna mtu anaamini katika kudanganya, anajaribu kumdangaya mdada kwa "kumuua" rafiki yake...that aint manly au sio?
 
Utamweza King? lol
But I entend to be very serious about it. Nimesha pokea sim na message muhimu, sasa this afternoon nimepanga to live a perfect day as defined by Russian Roulette! lol
:focus:
Sasa Shem kaenda wapi tena Alter, tunasubiri huo upande wa pili kwa ajili ya kina mama as promised.

In preparation....please be patient😛oa
 
Hivi bado mnatongozana mpaka leo
Mm nilifikiri wote tayari mna wenu
Au hili somo ni huku JF tu, kwani mara kongosho
na nani, mara bro kaizer na Nani?
Anyway Bro Thanks.
Nitaiprint hii nimpatie yule ankol wako
aliyemaliza fm foo juzi apate maujuzi.

halafu, DaMie, kama hajafaulu, mwambie nakuja kumnyang'anya dada...kwetu hatujakuchoka ivo
 
Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mwalimu wa projects..hebu tutanabahishe kuhusu hizi projects!
 
Back
Top Bottom