Ukimtoa Askofu Gwajima ni Mbunge gani mwingine wa CCM anayeweza kujaza Watu kwenye Mikutano yake?

Wako wengi tuu sema wewe ndio unajilisha upepo..Hata hivyo wabunge wa mjini ni kawaida kwa watu kutohudhuria tofauti na Vijijini.

Mmja wapo Huyu hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220706-202705.png
    258 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220706-202745.png
    44.8 KB · Views: 5
Badala ya kujadili Mambo ya Maana yenye Tija kwa Taifa unajadili kujaza Watu ili iweje?
 
Isijekuwa ni wale wa Jumapili wameshindwa kutofautisha
 

Anaifanyia wapi? Jimboni au? Ama unasema mikutano ya injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…