BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Anaweza kupingana na maamuzi ya bunge akakutunuku kitumbua kwa siri.Ndio ilivyo haswa kwa slay queens, principle no.1 usitongoze mwanamke anaekaa kama nyumbu kwa usalama wako. Bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani ujue umeisha
Akinogewa anakuficha huku akijifanya anakuponda akiwa bungeni.