Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeenda kupima DNA?My wife said the same thing and now we have two beautiful kids.
Mkuu mimi nina mawazo tofauti na wewe . Kama mwanamke unamtaka kwa uzinzi tu hapo sawa. Lakini kama kwa ajili ya uchumba na ndoa basi urafiki na stage ya kwanza kabisa katika stage tatu za kutengeneza familia.Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone wengi wao ni wastaarabu na jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
Mara nyingi hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye.
Nimewasilisha
Cha moto sana hichi chumamwanaume inamchukua sekunde nane kumpenda mwanamke, Mwanamke inamchukua siku 15 kumpenda mwanaume.
kula chuma hiko
Pole baharia
Hii njia yako ilinipiga pini usiku wa manane sitokaa kusahau.Dunia inaenda kasi sana,,, Mambo ya kutongoza yalisha pitwa na wakati..
Mimi huwa nafanya hivi [emoji4][emoji4]
Mimi = mambo sister
Yeye = poa tuhh
Mimi = sorry nisaidie namba yako kama huto jari
Yeye = 06754.......
Mimi = Asante sana
Yeye = okay.
Hapa sasa kama kidume uliye kamilika kaa kimya zaidi ya wiki moja hivi alafu unamvutia waya..
Utajitambilisha fresh.. Najua atalalamika sana... Ohhoh mbona ulikua hunitafuti siku zote hizo???
Wewe Mjibu sorry but nilikua nakukumbuka sana ..
Baada ya kusalimiana muulize tuhh naomba nikupigie tena usiku kama huto jari!!! Na pia muulize mda gani umpigie( Hapa hakikisha ule mda wa kulala ndo best) ...????
Akikujibu okay Sawa..
Sasa hapo unapanga zako step chache za maswali(haya maswali yanaitwa ya kuboa), inapendeza sana mda akiwa amelala ndo umuulize haya masali.
1. Amelalaje ( style aliyo lala)
2. Umevaa nguo gani
3. Umevaa ya rangi gani
Akijibu hayo maswali matatu hapo juu,, total jua kabisa BLUETOOTH IS CONNECTED SUCCESSFULLY [emoji23]
Hapo una malizia tuhh kuomba hata busu.....
Mkuu niliambulia mate na vizinga tuuPole baharia
Yaaan hujakubaliwa then unaanza kuita tu pisi ya watu babe,,ujasiri huo wautoa wapi..?Sio kweli. Si kila mwanamke anatongozwa haraka.
Mara nyingi akisema hivyo ni hataki kukupoteza. Akikwambia sikutaki ni kwamba utapotea hutokuwa karibu nae naye hataki hilo litokee. Na wakati huo huenda anataka apime kama utamfaa ama laah.
So ni rahisi akiona humfai kabisa wakati mko friend mkabaki friend. Bt ukimfaa mnasogea hatua nyingine.
Ukikubali urafiki wewe endelea kumjali na kuweka ukaribu nae usimtongoze tongoze tena mara mbili mbili. Utakuja shtuka tu mnaanza kuitana babe.😂😂
Sisi professional players wa zamani, ilikuwa mwanamke akishaniambia tu kwamba tuwe marafiki, huyo tayari nimeshamla; ni swala la muda tu.Katika harakati za kutongoza huwaga mwanaume anakutana na majibu mengi mojawapo ni hili la mwanamke kumwambia mwanaume wawe marafiki ukweli ni kwamba hapa umeshakataliwa tayari
Kama mwanamke kavutiwa na mwanaume kamwe hawez mwambia wawe marafiki lazima atamkubali ila kama hajavutiwa na mwanaume mara nyingi anamwambia wawe marafiki kwanza ila ukweli ni kwamba hajavutiwa naye
Mwanamke anayekuambia muwe kwenye friendzone wengi wao ni wastaarabu na jua anajaribu kujitahid kukupenda lakin hakupendi yaan akili inataka hisia hazitaki ni ukweli mchungu ambao mwanaume unatakiwa kukubaliana nao
Mara nyingi hii mbinu huwaga wanatumia wanawake wastaarabu kumkataa mwanaume wale kiburi-flow lazima akutolee maneno ya shombo na dhihaka
Mwanaume ukiambiwa muwe marafiki ni vizuri ukaachana na huyo mwanamke sababu ukiendelea kulazimisha utakuja umia sababu wewe hukuenda kwake kwa ajili ya urafiki bali mahusiano kuulinda moyo wako usiumie ni bora ukaachana naye.
Nimewasilisha
ChaiMy wife said the same thing and now we have two beautiful kids.
HongeraChai
Ngoja nianze na hii mbinuSisi professional players wa zamani, ilikuwa mwanamke akishaniambia tu kwamba tuwe marafiki, huyo tayari nimeshamla; ni swala la muda tu.
Technically, akishakukubali tu kama rafiki tayari anakuwa kakuweka kwenye circle yake. Muda wowote unaweza kumpigia simu, kumuomba muonane n.k, kama ambavyo marafiki wengine wanafanya. Jambo la msingi mno, ni kutokuruhusu akuzoee sana. Weka mipaka.
Hiki kipindi cha urafiki msifie sifie, mnunulie zawadi, mtext mara kwa mara, mtoe outting, mpigie simu n.k. Fanya hivi mfululizo hata kwa wiki 3 (kwa kutegemea na aina ya mwanamke mwenyewe), yani uhakikishe uko akilini mwake muda wote.
Baada ya mwezi au zaidi, ukijiridhisha kwamba kakuzoea (yaani kakuona wewe ni sehemu ya yeye, hata kwa huo anaouita yeye urafiki), wewe badilisha gia angani. Kaa kimya ghafla.
Lazima akuulize kulikoni? Kuwa mnyonge. Lazima aombe muonane. Asipoomba, omba wewe. Ukikutana nae, vunga uko so down. Mwambie wewe kuendelea kuwa karibu naye kama rafiki wa kawaida na siyo mpenzi, kunakuumiza ndani kwa ndani, kwamba umejaribu kujikaza sana sasa umeamua kumwaga manyanga umuache aende, lakini kila ukijaribu kumuacha aende ndio unaumia zaidi (hapa unakuwa umemchanganya zaidi, hatajua unaachana naye au unaendelea na urafiki). Mimi kuna kipindi nilikuwa hadi nafosi machozi yanilengelenge au nakunywa konyagi, kwasababu nyagi ina sifa ya machozi ya karibu [emoji3].
Wallah sheikh, utakuja kunishukuru hapa baadaye. Wanawake wameumbiwa mioyo ya huruma sana. Halafu kwa mwanamke, mapenzi ni jinsi alivyokuzoea na na namna unavyomjali. Ndo mana hapo juu nikasema uhakikishe amekuona wewe ni sehemu ya yeye (hapa namaanisha mazoea).
Nitarudi baadaye [emoji28]
Wastage of time! I dont think a rich man can entertain this bullshit! Sorry.Sisi professional players wa zamani, ilikuwa mwanamke akishaniambia tu kwamba tuwe marafiki, huyo tayari nimeshamla; ni swala la muda tu.
Technically, akishakukubali tu kama rafiki tayari anakuwa kakuweka kwenye circle yake. Muda wowote unaweza kumpigia simu, kumuomba muonane n.k, kama ambavyo marafiki wengine wanafanya. Jambo la msingi mno, ni kutokuruhusu akuzoee sana. Weka mipaka.
Hiki kipindi cha urafiki msifie sifie, mnunulie zawadi, mtext mara kwa mara, mtoe outting, mpigie simu n.k. Fanya hivi mfululizo hata kwa wiki 3 (kwa kutegemea na aina ya mwanamke mwenyewe), yani uhakikishe uko akilini mwake muda wote.
Baada ya mwezi au zaidi, ukijiridhisha kwamba kakuzoea (yaani kakuona wewe ni sehemu ya yeye, hata kwa huo anaouita yeye urafiki), wewe badilisha gia angani. Kaa kimya ghafla.
Lazima akuulize kulikoni? Kuwa mnyonge. Lazima aombe muonane. Asipoomba, omba wewe. Ukikutana nae, vunga uko so down. Mwambie wewe kuendelea kuwa karibu naye kama rafiki wa kawaida na siyo mpenzi, kunakuumiza ndani kwa ndani, kwamba umejaribu kujikaza sana sasa umeamua kumwaga manyanga umuache aende, lakini kila ukijaribu kumuacha aende ndio unaumia zaidi (hapa unakuwa umemchanganya zaidi, hatajua unaachana naye au unaendelea na urafiki). Mimi kuna kipindi nilikuwa hadi nafosi machozi yanilengelenge au nakunywa konyagi, kwasababu nyagi ina sifa ya machozi ya karibu [emoji3].
Wallah sheikh, utakuja kunishukuru hapa baadaye. Wanawake wameumbiwa mioyo ya huruma sana. Halafu kwa mwanamke, mapenzi ni jinsi alivyokuzoea na na namna unavyomjali. Ndo mana hapo juu nikasema uhakikishe amekuona wewe ni sehemu ya yeye (hapa namaanisha mazoea).
Nitarudi baadaye [emoji28]
Kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha anayotakaWastage of time! I dont think a rich man can entertain this bullshit! Sorry.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app