Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Tanzania Marais hawawajibiki wakiwa madarakani kwakua wakimaliza muda wao haijalishi walichokifanya Bado wanabakia na heshima zao ,
Hakuna wa kuwawajibisha.
Nyerere alivyokuwa ana ongoza south south commission, alisema tatizo la south yaani "Africa" mtoto wa kiongoziLaiti ungejua kampuni iliyojenga Chato airport, Uboreshaji wa Dodoma na aliyepewa tenda ya kusupply malori kule Nyerere HEP huyo Meko usingemtoa kwenye list kabisa aisee.
Fanya research zaidi. Ulizia yule dogo bonge aliyekuwa kwenye Landcruiser nyeusi mbele ya msafara wa mazishi ana cheo gani kwenye kampuni ya dingi yake? Anasimamia tenda ngapi? Walizipataje?
Ukipata majibu njoo uedit Uzi wako.
Hapo ndo pa kubadilisha. Haiwezekani binadamu huyuhuyu aliyezaliwa kutoka kwa Adam na Eva asiwe anategemewa kufanya makosa akiwa na nguvu kubwa kiasi hichoTanzania Marais hawawajibiki wakiwa madarakani kwakua wakimaliza muda wao haijalishi walichokifanya Bado wanabakia na heshima zao ,
Hakuna wa kuwawajibisha.
This is not Asia bahati mbaya unless unataka kumaanisha kwamba alipewa kwa upendeleo na amefanya cha maana kitu ambacho sitakubaliana nawe and am not even ready to embark myself kwenye University work of arguments.Nyerere alivyokuwa ana ongoza south south commission, alisema tatizo la south yaani "Africa" mtoto wa kiongozi
1. Anapewa mradi kwa upendeleo
2. Atalipwa pesa na kazi hatofanya hivyo huo mradi yatakuwa na tija kwa uchumi wa Nchi, lakini Asia kosa litakuwa moja tu namba moja kwamba kazi itatolewa kwa upendeleo, lakini kazi itafanyika hivyo kuwa na tija kiuchumi.
Nafikiri utakuwa umeelewa
Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku.
Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa SA, migodi ikapewa watu, tukasikia ana hotel SA. Kikwete akaja kutia fola na IPTL, escrow aliyoonesha ushenzi eti siyo pesa za serikali, twiga wakauzwa uarabuni, TRC ikauzwa kwa wahindi, rada na chenji yake ikapotea, ukodishaji wa ndege, Bandari ya bagamoyo, n.k.
Magufuli haijaeleweka sana ni nini alichojineemesha. wengi wanasema Chato Chato lakini ujenzi wa chato kwa upendeleo, iwe airport, iwe hospitali, iwe Burigi N.P, vyote hivi ni vya serikali na wananchi na vimebaki tunaviona. Hawa wengine walijineemesha wao binafsi.
Sasa amekuja Samia ameanza kunadi Bagamoyo kwa nguvu zote, anawaachia mafisadi kama akina Singh kwa bei ya chini kuliko pesa walizo pora. Mwaka haujaisha lakini ni ishara kwamba yajayo yanafurahisha. Sidhani kama muda wa siku 100 ulimtosha kufahamu undani wa mradi na niya njema au mbaya juu ya mradi huu. Naweza kuhisi kwa 70% kwamba ameambiwa na wanaofahamu mradi ili aendelee, wafaidi. Wananchi anawapoza kwa kuwaambia analeta uhuru na demokrasia. Huu ni mtindo wa Mobutu alivyowaachia wakongo kucheza ndombolo yeye akipora.
Ni shamba la bibi wanajichotea wao na familia zao tu huku wananchi wa kawaida wakihimizwa kuwa wazalendo na kuipenda nchi yao.Tanzania Marais hawawajibiki wakiwa madarakani kwakua wakimaliza muda wao haijalishi walichokifanya Bado wanabakia na heshima zao ,
Hakuna wa kuwawajibisha.
So Nyerere was embarking on "university argument " akili za kuambiwa changia na zako keep it Up and keep your points to yourself if you are closed minded person.This is not Asia bahati mbaya unless unataka kumaanisha kwamba alipewa kwa upendeleo na amefanya cha maana kitu ambacho sitakubaliana nawe and am not even ready to embark myself kwenye University work of arguments.
Tulia dogo, bado inafikiriwa.Hio mbinu itaje ili tuijue[emoji28][emoji28][emoji28]
Mtu wa Chato huwezi kosoa mzaliwa wa Chato mwenzio kwa sababu wewe ni mojawapo ya kizazi cha nyoka mwenye sumu,katika vitu vya ovyo kabisa ni kutaka kuijenga Chato kuwa Dar wakati wananchi wakiteseka miaka mitano na robo bila ajira,mishahara kuongezewa,madaraja kazini kupandishwa,mzunguko wa pesa nchini ukiwa hafifu,uhuru wa kweli kwa Watanzania walio wengi kzorota na mateso ya kila aina,Bora hao uliowataja Watanzania walikula mema ya nchi yao kwa ujumla wao kuliko huyo unayesema alijenga Chato na kuiachia nchi umaskini wa kutupwa.Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku.
Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa SA, migodi ikapewa watu, tukasikia ana hotel SA. Kikwete akaja kutia fola na IPTL, escrow aliyoonesha ushenzi eti siyo pesa za serikali, twiga wakauzwa uarabuni, TRC ikauzwa kwa wahindi, rada na chenji yake ikapotea, ukodishaji wa ndege, Bandari ya bagamoyo, n.k.
Magufuli haijaeleweka sana ni nini alichojineemesha. wengi wanasema Chato Chato lakini ujenzi wa chato kwa upendeleo, iwe airport, iwe hospitali, iwe Burigi N.P, vyote hivi ni vya serikali na wananchi na vimebaki tunaviona. Hawa wengine walijineemesha wao binafsi.
Sasa amekuja Samia ameanza kunadi Bagamoyo kwa nguvu zote, anawaachia mafisadi kama akina Singh kwa bei ya chini kuliko pesa walizo pora. Mwaka haujaisha lakini ni ishara kwamba yajayo yanafurahisha. Sidhani kama muda wa siku 100 ulimtosha kufahamu undani wa mradi na niya njema au mbaya juu ya mradi huu. Naweza kuhisi kwa 70% kwamba ameambiwa na wanaofahamu mradi ili aendelee, wafaidi. Wananchi anawapoza kwa kuwaambia analeta uhuru na demokrasia. Huu ni mtindo wa Mobutu alivyowaachia wakongo kucheza ndombolo yeye akipora.
Na utakuta alitoa fursa za ajira labda iwe waajiriwa wote ni wanafamilia jambo lisilowezekana.Sasa kujipa tenda kuna ubaya gani kama kampuni ipo na imetimiza vigezo? Kwamba wewe usiajiriwe ofisi aliyepo baba yako kama afisa muajiri ikiwa umeomba nafasi na sifa unazo! Hebu acheni chuki za kishamba jamani
Wizi hauna manufaa hiko kiwanda cha magari hakishindani ya hyundani ya Korea wakati wote walikua sawaDah! Ni hawa hawa wanajengewa nyumba za kustaafu. Hapo ni baada ya kutuibia!
Kama Samia ana akili ya wizi basi ametia fola na yeye maana ndani ya siku 100 anawazia miradi yenye kuleta ugomvi kiasi hiki? Hii imenikumbusha makara ilionesha wezi wa Indonesia na Malaysia wanavyosaidia nchi zao kwa mali walizoiba. Mtoto wa Suharto akajenga kiwanda cha kuunda magari nchini. Mi naomba tumruhusu kuiba lakini ajenge reli yake nchini Zanzibar ili iwasaidie usafiri.
Unaishia kusema tu inahitajika mbinu , Sasa hizo mbinu unategemea upewe na nani kama wewe mwenyewe umeshindwa kuziweka hapa?Nyerere alitambua hii Katiba iliyopo inaweza kumfanya kiongozi awe dikteta, lakini sio yeye wala wasaidizi wake kina Kawawa na wengine walioona umuhimu wa kuibadilisha, na wakati huo upinzani ungeweza kuwa mdogo kwasababu ungetoka ndani ya chama, na zaidi wasomi wa kuibadilisha kina jaji Warioba walikuwepo.
Lakini baada ya vyama vingi kuanzishwa, na madudu yanayofanywa na viongozi wa CCM na serikali yao, kuipata Katiba Mpya ndio umekuwa mfupa mgumu zaidi, jamaa wanaogopa kubadili katiba kwa kuhofia kuburuzwa mahakamani kwa wizi walioufanya kwa hili taifa.
Vyema tutambue tu haya mapambano sio madogo, ni mtihani wa kweli kuipata Katiba Mpya, tukicheza tutaendelea kupiga kelele tu Katiba Mpya mpaka ugeuke wimbo, kuipata Katiba Mpya kwa kusubiri ruhusa toka kwa mwenyekiti wa CCM ni ndoto, sasa inahitajika mbinu/njia mpya.