Ukimuangaza Manula kwa makini, kuna kitu anaiumiza Simba

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.

Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.

Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?

Manula Manula, anaiumiza Simba.
 
Mimi ni wa Yanga na nawaambieni, hana shida huyu jamaaa. Ni kipa mkali sana....kuna bao zingine huwezi chomoa, hata kina Oblak wanapitia.
Wewe mbona kina oblack izo wanadaka
 
Wewe mbona kina oblack izo wanadaka
Boss, ata Manula kuna anazo daka, ila reality ni kwamba...kuna ambazo huchomoi mzee. Messi amemfanyia oblak, casillas na wengine wakali maajabu mangapi kama ya prince.
 
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.

Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.

Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?

Manula Manula, anaiumiza Simba.
Kwa lile la Aziz Ki, usimlaumu Manula asee, unless uko tayari kulea familia yake

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.

Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.

Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?

Manula Manula, anaiumiza Simba.
Nashauri apimwe macho nahisi haoni kwa mbali
 
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.

Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.

Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?

Manula Manula, anaiumiza Simba.
Aisha Tena,lazima agongwe tu.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kumbe hujui kazi ya kipa, sasa ngoja nikwambie, golikipa yumo golini kupunguza magoli mepesi yasifungwa lakini uwezo wa kuzuia kila shoot hawana uwezo huo, kwasasa duniani kuna washambuliaji wanaoweza kupiga mpira golini kwa kutafuta angle ambayo golikipa hawez fika, sio kama wakati huu mpira unaanza washambuliaji walikuwa wanapiga mipira tu ili iingie golini pasipo kuchambua
 
Kumbe hujui kazi ya kipa,sasa ngoja nikwambie,golikipa yumo golini kupunguza magoli mepesi yasifungwa lakini uwezo wa kuzuia kila shoot hawana uwezo huo,kwasasa duniani kuna washambuliaji wanaoweza kupiga mpira golini kwa kutafuta angle ambayo golikipa hawez fika,sio kama wakati huu mpira unaanza washambuliaji walikuwa wanapiga mipira tu ili iingie golini pasipo kuchambua
Simba wanamtafuta Mtu wa kumuangushia jumba bovu

Mfano mashine kama hile ya Azizi k Mtu unaidakaje !!
 
Yale mashuti yaliyopigwa katika mechi ya Azam hakuna hata moja Manula kadaka zaidi yq kugonga mwamba
 
Manula halaumiwi...jana kafanya save ya hatari sana kuzuia mpira wa akamenko usiingie nyavuni. Kipa anaonekana mbovu kutokana na beki mbovu.Kama jana alikuwa hana cha kufanya, Erasto nyoni alikuwa anavuja kama pakacha kitendo kilichofanya Inonga atoke katika position yake kwenda kufuga makosa ambapo alikuwa akiacha gape pale katikati.
 
Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.

Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.

Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?

Manula Manula, anaiumiza Simba.
na huu ndiyo upuuzi wa mashabiki wa yanga na simba. ishauri simba iajiri malaika
 
Manula halaumiwi...jana kafanya save ya hatari sana kuzuia mpira wa akamenko usiingie nyavuni. Kipa anaonekana mbovu kutokana na beki mbovu.Kama jana alikuwa hana cha kufanya, Erasto nyoni alikuwa anavuja kama pakacha kitendo kilichofanya Inonga atoke katika position yake kwenda kufuga makosa ambapo alikuwa akiacha gape pale katikati.
Mbona mlimuongeza mkataba?
 
Back
Top Bottom