FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mlikuwa wabishi sana tukiwaambia mna team ya kawaidaYale mashuti yaliyopigwa katika mechi ya Azam hakuna hata moja Manula kadaka zaidi yq kugonga mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlikuwa wabishi sana tukiwaambia mna team ya kawaidaYale mashuti yaliyopigwa katika mechi ya Azam hakuna hata moja Manula kadaka zaidi yq kugonga mwamba
Umenikumbusha kwa aliyekuwa kipa wetu enzi hizo Mackenzie Ramadhani alikuwa bora sana golini alikuwa afungiki kirahisi, baada ya mechi kadhaa wapinzani wakajua udhaifu wake kwamba haoni mbali wakawa wanamtungua kwa magoli ya mbali!nashauri apimwe macho nahisi haoni kwa mbali
Kwaiyo manura msahaulifu sio?Mimi simlaumu manula, nalaumu management ya team.
Sidhan kama pale simba tuna kocha bora wa makipa. Fuatilia wakati ule amekuja huyu kocha wa makipa mbrazil ambaye alifukuzwa pamoja na Gomez akaenda yanga. Wakati akiwepo manula aliimarika sana hasa kwenye mipira ya mbali ambalo ni tatizo kubwa kwake. Alivyoondoka huyu kocha, hawa wanaokuja hawajawa na mbinu za kutatua tatizo hilo.
Ubaya magoro yote kafungwa mazuriHebu tutoleeni ma uchambuzi yenu bwana.. mtu amefungwa goli mbili 4 tuu toka ligi ianze mnamuona mbaya? Magoli aliyofungwa yote ni ya juu na alijitahidi kuruka mnataka afanyaje sasa.Tuachieni Simba yetu
Usahaulifu unapimwa kwa kitu gani?Kwaiyo manura msahaulifu sio?
Utopolo mpo vizuri sana kwa propaganda.Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.
Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.
Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?
Manula Manula, anaiumiza Simba.
Ushauri mzuri. Sidhani kibongo bongo kama vipimo hivi vinafanyika.Nashauri apimwe macho nahisi haoni kwa mbali
Asee umeongea fact...amekuwa anafungwa magoli ya aina moja...kwa kuwa ni kazi yake angelifanyia mazoezi...Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.
Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.
Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?
Manula Manula, anaiumiza Simba.
Nami nilitaka kuongezea hapo. Kama alifundishwa nakuona inafaa, kwa nini skills hizo hasiziendeleze?Kwaiyo manura msahaulifu sio?