Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Wewe mbona kina oblack izo wanadakaMimi ni wa Yanga na nawaambieni, hana shida huyu jamaaa. Ni kipa mkali sana....kuna bao zingine huwezi chomoa, hata kina Oblak wanapitia.
Boss, ata Manula kuna anazo daka, ila reality ni kwamba...kuna ambazo huchomoi mzee. Messi amemfanyia oblak, casillas na wengine wakali maajabu mangapi kama ya prince.Wewe mbona kina oblack izo wanadaka
Uyo Manula hafanyi mazoezi mademu tuBoss, ata Manula kuna anazo daka, ila reality ni kwamba...kuna ambazo huchomoi mzee. Messi amemfanyia oblak, casillas na wengine wakali maajabu mangapi kama ya prince.
Kwa lile la Aziz Ki, usimlaumu Manula asee, unless uko tayari kulea familia yakeHuyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.
Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.
Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?
Manula Manula, anaiumiza Simba.
Dah! Acha lawama mkuuUyo manula hafanyi mazoezi mademu tu
Nashauri apimwe macho nahisi haoni kwa mbaliHuyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.
Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.
Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?
Manula Manula, anaiumiza Simba.
Aisha Tena,lazima agongwe tu.Huyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.
Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.
Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?
Manula Manula, anaiumiza Simba.
Simba wanamtafuta Mtu wa kumuangushia jumba bovuKumbe hujui kazi ya kipa,sasa ngoja nikwambie,golikipa yumo golini kupunguza magoli mepesi yasifungwa lakini uwezo wa kuzuia kila shoot hawana uwezo huo,kwasasa duniani kuna washambuliaji wanaoweza kupiga mpira golini kwa kutafuta angle ambayo golikipa hawez fika,sio kama wakati huu mpira unaanza washambuliaji walikuwa wanapiga mipira tu ili iingie golini pasipo kuchambua
Hukuangalia mpira...uliona clear save aliyoifanya kumzuia akamenko asifunge?Yale mashuti yaliyopigwa katika mechi ya Azam hakuna hata moja Manula kadaka zaidi yq kugonga mwamba
na huu ndiyo upuuzi wa mashabiki wa yanga na simba. ishauri simba iajiri malaikaHuyu kipa bila ya shaka anaonekana ni bora sana Tanzania kwa sasa. Hata hivyo ameshindwa kuimarika na inaonekana ameshafika kileleni.
Katika mazingira ya mechi ngumu huwa anavuja sana kwenye 'long range efforts'. Si mara zote kuwa tumaifu mpiga hi, bali Aisha ana misposition ama anakuwa hana utayari wa ku overstretch.
Zoom vyema rekodi zake na uone asili ya magoli anazofungwa. Je, hajazifanyia kazi?
Manula Manula, anaiumiza Simba.
Mbona mlimuongeza mkataba?Manula halaumiwi...jana kafanya save ya hatari sana kuzuia mpira wa akamenko usiingie nyavuni. Kipa anaonekana mbovu kutokana na beki mbovu.Kama jana alikuwa hana cha kufanya, Erasto nyoni alikuwa anavuja kama pakacha kitendo kilichofanya Inonga atoke katika position yake kwenda kufuga makosa ambapo alikuwa akiacha gape pale katikati.