Sikutegemea hii akili kubwa mkulungwaNamwita wife pembeni kama kuna kitu namuagiza afu namuuliza huyo ni nani? Bila mhusika kusikia
Au nawafuata wote afu namuuliza wife unaelekea wapi saiz,
Au nampigia simu kama hawajaniona namuuliza uko wapi wife akinidanganya naanza kuwafuatilia akijibu sahihi namuuliza huyo ni nani
Baada ya hapo natengeneza ratiba nyingine ya ghafla kwa wife ili mradi abadili route na kuelekea nyumbani. Akifika home semina na kipindi cha maswali na majibu kinaanza
Hili neno mkulungwa nini maana yake??nalisikia sanaSikutegemea hii akili kubwa mkulungwa
Mtu mzimaHili neno mkulungwa nini maana yake??nalisikia sana
Niwajoin kwani najua waendako?Fikiria uko mjini unakatiza mitaa Mara paaap wife na mshkaji halafu wako huruu wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui Wala Nini niambie mkulungwa mwenzangu utafanyaje utawapa hai na kuwaacha waendelee na hamsini zao au utawajoin. Niambie mkulungwa mwenzangu utafanyaje.
[emoji16]Mkulungwa hata wewe mwenye Dem unaonaje?
Siana pokea then atapeleka baadaeNampa mizigo wife aipeleke nyumbani ..alafu nasikilizia jamaa ataongea nn