Ukimuona jamaa yuko na mkeo mjini wanatembea utafanyaje?

Ukimuona jamaa yuko na mkeo mjini wanatembea utafanyaje?

Naanza kutoa kipigo kwanza tena kipigo chenyewe kinaitwa "bwana yu nasi" then ndo naanza kumsikiliza wakati huo hana meno akiwa anaongea thi thi Kama zote..[emoji28] "thi thi tulikuwa tunaenda thambani kuangalia thamba Kama limethaa.."[emoji1787]
we fala kweli
 
Fikiria uko mjini unakatiza mitaa Mara paaap wife na mshkaji halafu wako huruu wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui Wala Nini niambie mkulungwa mwenzangu utafanyaje utawapa hai na kuwaacha waendelee na hamsini zao au utawajoin. Niambie mkulungwa mwenzangu utafanyaje.
Hii ni ishara ya kumuonea wivu MWANAUME mwenzio....

Kuzuia stress za mapenzi, hua atukabi goli, tunakaba mchezo wenyewe and stay positive muda wote.

Let remind you, mwanamke habadani avui nguo zake kwa mwanaume asiyekua na hisia nae, otherwise yupo kazini.
 
Hivi wanawake ambao hua wanafanya mambo kama hayo hua wanapatikana mkoa gani??
 
Namwita wife pembeni kama kuna kitu namuagiza afu namuuliza huyo ni nani? Bila mhusika kusikia

Au nawafuata wote afu namuuliza wife unaelekea wapi saiz,

Au nampigia simu kama hawajaniona namuuliza uko wapi wife akinidanganya naanza kuwafuatilia akijibu sahihi namuuliza huyo ni nani

Baada ya hapo natengeneza ratiba nyingine ya ghafla kwa wife ili mradi abadili route na kuelekea nyumbani. Akifika home semina na kipindi cha maswali na majibu kinaanza
Hapo kwenye kipindi cha maswali na majibu sasa😂😂😂😂😂😂
 
Naanza kutoa kipigo kwanza tena kipigo chenyewe kinaitwa "bwana yu nasi" then ndo naanza kumsikiliza wakati huo hana meno akiwa anaongea thi thi Kama zote..😅 "thi thi tulikuwa tunaenda thambani kuangalia thamba Kama limethaa.."🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka jamani
 
Fikiria uko mjini unakatiza mitaa mara paaap wife na mshkaji halafu wako huruu wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui wala nini.

Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanya? Utawapa hai na kuwaacha waendelee na hamsini zao au utawajoin? Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje?
Nawapa hi kwa bashasha, nashake mikono yao na kiwatakia mchana mwema, napita zangu
 
Imetokea hii leo ..
Nlikuwa kwa shoeshine nasubiri viatu vyangu Mara paap simu hii hapa .
Oi Hp ukwapi nipo Mjini leo .. nipo kwa mangi paap Huyu hapa.. ukiwa unasubiri viatu twende somewhere ..kona ya kwanza ya pili ..paap hp mume wangu yule pale.. ila usiogope twende Twende 😂😂😂 alafu alikuwa kanishika mkono .
Jamaa alinitizama kwa jicho kali mnooh ... Nasubiri majibu baadae.
Wanasema karma ni bitch , inakula kila mtu aiii sijui huko kazini mama chanja anafanywa nn
 
Imetokea hii leo ..
Nlikuwa kwa shoeshine nasubiri viatu vyangu Mara paap simu hii hapa .
Oi Hp ukwapi nipo Mjini leo .. nipo kwa mangi paap Huyu hapa.. ukiwa unasubiri viatu twende somewhere ..kona ya kwanza ya pili ..paap hp mume wangu yule pale.. ila usiogope twende Twende [emoji23][emoji23][emoji23] alafu alikuwa kanishika mkono .
Jamaa alinitizama kwa jicho kali mnooh ... Nasubiri majibu baadae.
Wanasema karma ni bitch , inakula kila mtu aiii sijui huko kazini mama chanja anafanywa nn
Wewe ni jasiri sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi sijaoa ila ikinikuta na akili yangu isiyopenda kufuga upumbavu nitafanya hivi

kwanza nawafutilia mienendo ili nijue ni rafiki/ndugu au mpenzi wake hapa nitajua kutokana na tembea zao kwa sababu kuna utofauti ya kutembea kati ya watu wanaofamihana na wapenzi .
njia nyingine nitamark vituo vyao wanavyosimama na watu wanaongea nao ili siku nyingine niwafate niwaulize kwa sababu hawa watakua wana document zao zote

Pili ,nikugundua ni mpenzi wake najua nitakua emottional pain ila kwa kudhibiti nitanza kutumia akili kujijengea chuki na visasi yani hapa sifikilia kwanini amefanya vile wala sitaki kujua kwa nini amefanya vile mimi nachojua amevunja sheria kwa kusaliti ndoa yake kwa hiyo anastahili kupewa talaka no matter what what

tatu,kama na watoto lazima nitawapima DNA kwa kujifanya naenda kuwafanyia check up (muda huo nitajifanya mr.nice guy kupita maelezo 😁) kama watotp sio wangu natunza document kwa ajili ya tukio la baadae

nne,nafungua akaunti nyingine,mmiliki wa mali zetu zote namuandika mama yangu

tano,nampa talaka namfungisha mizigo aende kwao kwa kumshutukiza bila kumpa sababu ya mimi kufanya hivyo hapa najua itakuwa kama shambulio la kigaidi lazima akose cha kufanya huku lazima nafsi yake ikihaha huenda nimegundua ufuska wake

Sita,sitaki ushauri wa mtu awe mzazi wangu wala nani
pia sitaki majadiliano au vikao na mtu kuhusu talaka yangu na yeyote ateyejalibu kuforce aisee aje uku amevaa helment maana sio kwa makelebu hayo yatakayo mkuta😎

7.MAN DONE!!!
 
Naanza kutoa kipigo kwanza tena kipigo chenyewe kinaitwa "bwana yu nasi" then ndo naanza kumsikiliza wakati huo hana meno akiwa anaongea thi thi Kama zote..😅 "thi thi tulikuwa tunaenda thambani kuangalia thamba Kama limethaa.."🤣
Nimecheka sana,sikujua kama una vituko vya ivi aisee
 
Nitawanunulia na kinywaji cha baridi ili wawe wanapooza koo huku wakiendelea na maongezi yao!
Aisee! Kweli maneno yanaishi! Hivi hii kweli nilicomment mimi?!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Fikiria uko mjini unakatiza mitaa mara paaap wife na mshkaji halafu wako huruu wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui wala nini.

Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanya? Utawapa hai na kuwaacha waendelee na hamsini zao au utawajoin? Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje?
Naua wotee [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom