USM alger uyu uyu niliyemuona kwenye mechi zake anapambana kuingia robo,,USM alger ya msimu uliopita aliyecheza fainali na yanga sio uyu wa sasa,,sijajua kama unafatilia mechi hizi za shirikisho,,ungekuwa unafatilia nadhani usingemtaja na ndio maana anacheza Tena shirikisho msimu huu na Mc alger ndio Yuko champions league!Mbona Bingwa mtetezi shirikisho hujamtaja USM algers hujamtaja na aliwafunga hapa hapa.
umecheza klabu bingwa ukaishia wapi na kwa muda Gani tuanzie hapo kwanzaWewe utachekwa na watu hapa haubishani na shabiki wa Azam ambaye hajui kitu kuhusu Club Bingwa.
Mimi Club Bingwa nimefika robo fainali nikiwa na Babacar Sar, Jobe, Saido, na Fredy Michael. So kama ubovu wa timu ndio unaofanya mashindano yawe mepesi basi mimi nisingeweza kufuzu kwenda robo fainali kwa aina ya timu niliyokuwa nayo.
Sisi ndio tumewapa clue ya kujua kumbe kuna mashindano ya Club Bingwa na nyie ndio mkaanza kuweka focus.
So unavyo argue uwe unajenga hoja ukijua una argue na mtu ambaye anaelewa kila kitu kuhusu Club Bingwa.
Hata kwenye kundi letu tungemuondoa Al Hilal ya Sudan na mbabe wako MC Alger, Yanga mlikuwa mnaongoza kundi mkifuatiwa kwa ukaribu na Tp MazembeTunamuondoa kwakuwa ndio timu niliyoona Ina kaunafuu kidogo kaubora kakuweza kupambana na yanga kati ya washindwa wote mlionao kwenye icho kikombe!
Kwanza unakubali kuwa msimu jana nilifika robo fainali ya Club Bingwa nikiwa na Babacar Sar Jobe Saido na Fredy Michael?Tumecheza klabu bingwa ukaishia wapi na kwa muda Gani tuanzie hapo kwanza
Aijalishi ulikuwa na nani kwani nani alikufanyia usajili?Kwanza unakubali kuwa msimu jana nilifika robo fainali ya Club Bingwa nikiwa na Babacar Sar Jobe Saido na Fredy Michael?
Unavyosema USMA mbovu kwakuwa msimu huu anacheza shirikisho hivi kipindi anakupasua wew fainali alikuwa anacheza klabu bingwaUSM alger uyu uyu niliyemuona kwenye mechi zake anapambana kuingia robo,,USM alger ya msimu uliopita aliyecheza fainali na yanga sio uyu wa sasa,,sijajua kama unafatilia mechi hizi za shirikisho,,ungekuwa unafatilia nadhani usingemtaja na ndio maana anacheza Tena shirikisho msimu huu na Mc alger ndio Yuko champions league!
Inajalisha kwasababu kuna upotoshaji unaotaka kufanyika hapa kupitia kichaka cha Club Bingwa kwamba kuna timu ngumu wanaobebwa na quality ya wachezaji.Aijalishi ulikuwa na nani kwani nani alikufanyia usajili?
Inajalisha kwasababu kuna upotoshaji unaotaka kufanyika hapa kupitia kichaka cha Club Bingwa kwamba kuna timu ngumu wanaobebwa na quality ya wachezaji.
Kwa hiyo jibu kwanza hilo swali.
Unakwepa nini,,viongozi wako na kocha wako ndio walifanya usajili kwaiyo usajili wako wa ovyo usitake kutake advantage kigezo cha. Ubora wa wachezaji wako kwamba ndio walikufanya uishie robo robo ata shirikisho?Inajalisha kwasababu kuna upotoshaji unaotaka kufanyika hapa kupitia kichaka cha Club Bingwa kwamba kuna timu ngumu wanaobebwa na quality ya wachezaji.
Kwa hiyo jibu kwanza hilo swali.
Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!Unavyosema USMA mbovu kwakuwa msimu huu anacheza shirikisho hivi kipindi anakupasua wew fainali alikuwa anacheza klabu bingwa
Usma hii imeweza hata kuongoza kundi hiyo iliyokupasua wew hata kundi lake tu haikuongoza
Uwe unafuatilia mpira kabla ya kuleta vioja mkuu
Basi hoja ya kusema umetolewa kwenye mashindano fulani itabaki kuwa ni hoja ya kipumbavu kama haipo supported na ubora wa timuUnakwepa nini,,viongozi wako na kocha wako ndio walifanya usajili kwaiyo usajili wako wa ovyo usitake kutake advantage kigezo cha. Ubora wa wachezaji wako kwamba ndio walikufanya uishie robo robo ata shirikisho?
Hata wakati anawafunga alikua Shirikisho, hakuwafungeni champions leagueUSM alger uyu uyu niliyemuona kwenye mechi zake anapambana kuingia robo,,USM alger ya msimu uliopita aliyecheza fainali na yanga sio uyu wa sasa,,sijajua kama unafatilia mechi hizi za shirikisho,,ungekuwa unafatilia nadhani usingemtaja na ndio maana anacheza Tena shirikisho msimu huu na Mc alger ndio Yuko champions league!
Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!
Kipindi Usma anaifunga Yanga ilikuwa ni michuano gani?Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!
Lakini unakubali usma alikufunga akiwa huko huko shirikisho alipo sasa na wewe ukiwa bingwa wa ligi kama ilivyo sasa?Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!
Kwa maana iyo kipindi kile ndio kipindi hiki? USM alger ya sasa ndio Ile ya kipindi kile kiubora? Kama wangekuwa na ubora wa kipindi kile basi wasingekuwa shirikisho msimu huu,,ilikuwa shirikisho but alimfunga yanga kwenye hatua gani,,je kwasasa ubora wake anaweza kusimama na yanga Tena akamfunga?Kipindi Usma anaifunga Yanga ilikuwa ni michuano gani?
1.DJOLIBA~HAIJASHINDA MECHI HATA MOJA.Mnajitoa sana ufahamu nyie watu, uwezi kuelewa maana yangu kama auna D-2,,ni kwamba usilinganishe ubora wa timu unazocheza nazo uko na ubora wa timu zilizoko klabu bingwa,,narudia Tena shirikisho ni shirikisho tu na ndio maana wanashindanishwa washindwa kwa washindwa upo hapo!