Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

Mbona Bingwa mtetezi shirikisho hujamtaja USM algers hujamtaja na aliwafunga hapa hapa.
USM alger uyu uyu niliyemuona kwenye mechi zake anapambana kuingia robo,,USM alger ya msimu uliopita aliyecheza fainali na yanga sio uyu wa sasa,,sijajua kama unafatilia mechi hizi za shirikisho,,ungekuwa unafatilia nadhani usingemtaja na ndio maana anacheza Tena shirikisho msimu huu na Mc alger ndio Yuko champions league!
 
Wewe utachekwa na watu hapa haubishani na shabiki wa Azam ambaye hajui kitu kuhusu Club Bingwa.

Mimi Club Bingwa nimefika robo fainali nikiwa na Babacar Sar, Jobe, Saido, na Fredy Michael. So kama ubovu wa timu ndio unaofanya mashindano yawe mepesi basi mimi nisingeweza kufuzu kwenda robo fainali kwa aina ya timu niliyokuwa nayo.

Sisi ndio tumewapa clue ya kujua kumbe kuna mashindano ya Club Bingwa na nyie ndio mkaanza kuweka focus.

So unavyo argue uwe unajenga hoja ukijua una argue na mtu ambaye anaelewa kila kitu kuhusu Club Bingwa.
umecheza klabu bingwa ukaishia wapi na kwa muda Gani tuanzie hapo kwanza
 
Yaan nyie hapo mlikua mnasubiri tufungwe leo mpate kitu cha kusema ila sasa tumeshinda na tunaongoza kundi,
Kigeuka huku kichaka hakipo mnabaki ooh kombe la looser,ukija Geuka nyuma ni wewe ulikua fainal juzi tu Hilo kombe,

Ukikaa kidogo utasikia tumewafunga Mara nne mfululizo😂😂
 
USM alger uyu uyu niliyemuona kwenye mechi zake anapambana kuingia robo,,USM alger ya msimu uliopita aliyecheza fainali na yanga sio uyu wa sasa,,sijajua kama unafatilia mechi hizi za shirikisho,,ungekuwa unafatilia nadhani usingemtaja na ndio maana anacheza Tena shirikisho msimu huu na Mc alger ndio Yuko champions league!
Unavyosema USMA mbovu kwakuwa msimu huu anacheza shirikisho hivi kipindi anakupasua wew fainali alikuwa anacheza klabu bingwa
Usma hii imeweza hata kuongoza kundi hiyo iliyokupasua wew hata kundi lake tu haikuongoza
Uwe unafuatilia mpira kabla ya kuleta vioja mkuu
 
Inajalisha kwasababu kuna upotoshaji unaotaka kufanyika hapa kupitia kichaka cha Club Bingwa kwamba kuna timu ngumu wanaobebwa na quality ya wachezaji.

Kwa hiyo jibu kwanza hilo swali.

Unakwepa nini,,viongozi wako na kocha wako ndio walifanya usajili kwaiyo usajili wako wa ovyo usitake kutake advantage kigezo cha. Ubora wa wachezaji wako kwamba ndio walikufanya uishie robo robo ata shirikisho?
 
Unavyosema USMA mbovu kwakuwa msimu huu anacheza shirikisho hivi kipindi anakupasua wew fainali alikuwa anacheza klabu bingwa
Usma hii imeweza hata kuongoza kundi hiyo iliyokupasua wew hata kundi lake tu haikuongoza
Uwe unafuatilia mpira kabla ya kuleta vioja mkuu
Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!
 
Unakwepa nini,,viongozi wako na kocha wako ndio walifanya usajili kwaiyo usajili wako wa ovyo usitake kutake advantage kigezo cha. Ubora wa wachezaji wako kwamba ndio walikufanya uishie robo robo ata shirikisho?
Basi hoja ya kusema umetolewa kwenye mashindano fulani itabaki kuwa ni hoja ya kipumbavu kama haipo supported na ubora wa timu
 
USM alger uyu uyu niliyemuona kwenye mechi zake anapambana kuingia robo,,USM alger ya msimu uliopita aliyecheza fainali na yanga sio uyu wa sasa,,sijajua kama unafatilia mechi hizi za shirikisho,,ungekuwa unafatilia nadhani usingemtaja na ndio maana anacheza Tena shirikisho msimu huu na Mc alger ndio Yuko champions league!
Hata wakati anawafunga alikua Shirikisho, hakuwafungeni champions league
 
Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!
1000012802.jpg
 
Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!
Kipindi Usma anaifunga Yanga ilikuwa ni michuano gani?
 
Lakini unakubali usma alikufunga akiwa huko huko shirikisho alipo sasa na wewe ukiwa bingwa wa ligi kama ilivyo sasa?
 
Kipindi Usma anaifunga Yanga ilikuwa ni michuano gani?
Kwa maana iyo kipindi kile ndio kipindi hiki? USM alger ya sasa ndio Ile ya kipindi kile kiubora? Kama wangekuwa na ubora wa kipindi kile basi wasingekuwa shirikisho msimu huu,,ilikuwa shirikisho but alimfunga yanga kwenye hatua gani,,je kwasasa ubora wake anaweza kusimama na yanga Tena akamfunga?
 
Mnajitoa sana ufahamu nyie watu, uwezi kuelewa maana yangu kama auna D-2,,ni kwamba usilinganishe ubora wa timu unazocheza nazo uko na ubora wa timu zilizoko klabu bingwa,,narudia Tena shirikisho ni shirikisho tu na ndio maana wanashindanishwa washindwa kwa washindwa upo hapo!
1.DJOLIBA~HAIJASHINDA MECHI HATA MOJA.

2.STADE D'ABDJAN~ HAIJAISHINDA MECHI HATA MOJA

3.MANIEMA~HAIJASHINDA MECHI HATA MOJA

4.TP MAZEMBE IMESHINDA MECHI MOJA TU.

HIZO TIMU ZOTE HAPO JUU ZINAZIDIWA UBORA NA BRAVOS DO MARQUIS.
 
Back
Top Bottom