Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

Hata CS Constantine angewafunga tu kwani kama ulifungwa na USM Alger ambaye kwenye ligi yuko chini ya CS Constantine kwa nini huyu asikufunge.
Ilikuwa swala la kukwepa kupanda basi lenu na kuingia changing room wakati wa half time

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tuliwahi kuongoza kundi lenye bingwa huko huko mlipokuwa,acha kujitia vidole mwenyewe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ili usipate taabu, angalia jedwali la CAF ranking. Timu zote zilizo juu yako wewe ni underdog kwa hizo, hiyo ni kwa mujibu wa CAF yenyewe mwanachama wa FIFA yenye mpiya wake. Ukibisha, India top five πŸ˜‚
 
MC Alger
 
Yaani umepigwa tayari halafu unauliza ukimwondoa Mike Tyson nani angeweza kunipiga kama ngefika hatua ya kugombea mkanda. Wakati huo hujafika hatua hiyo sababu umeshapata kipigo huku chini na wa size yako. Hawa hawa waliokuondoa ndo walikuwa size yako.
 
unatumia nguvu nyingi sana kufariji gongowazi wenzako. Mumetolewaaaa mbweha nyie
 
Watakufa kwa Pressure..tunaenda ongozwa kundi na Wasudani ambao kila siku wanapigana vita....puuzi huu.

Halafu unaenda kuweka reference kwa Zamalek ukichaa mwingine huo.

Tumesema siku nyingi kuna mambo ya watu lazima ukaze matako.Mnaaibisha Taifa kwa mambo ya hovyo hovyo kabisa.

Watu wa aina yenu ndio mnaharibu Soka hapa Bongo,hizi timu zilipaswa zikitolewa huko ,zichalazwe hasa ili ziwe na akili..mana mipango ya haina kama ilivyp baadhi ya mashabiki Mbuzi kama huyo.
Kweli Wasudani waongozo kundi na hawana hata Unga wa kula wala kiwanja.
 
Bado mtalia sana Kwa maumivu makali.
 
Tuliwahi kuongoza kundi lenye bingwa huko huko mlipokuwa,acha kujitia vidole mwenyewe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mliwai kuongoza kipindi watu wako lockdown ya corona unajisifu,,njoo uongoze na sasa uku klabu bingwa kama ubavu unao,,unadhani uku Kuna wakina majimaji wa Algeria!
 
Tabora United
 
Mliwai kuongoza kipindi watu wako lockdown ya corona unajisifu,,njoo uongoze na sasa uku klabu bingwa kama ubavu unao,,unadhani uku Kuna wakina majimaji wa Algeria!
Waongoze kunywa Supu pale Jangwani
 
Tumekubali Simba yupo Shirikisho kwa Wachovu.
Kweli Yanga wa kuongozwa kundi na Wasudani Mkuu???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nachoumia mimi kwanini tuwe kundi moja na watu hawana chakula na bado tutolewe..sisi tulitenga mpaka muda wa SUPU.
HAPANA..TEAM ya Yanga ni Mbovu imechoka.
 
Sasa kama ni kombe la washindwa ina maana hajui hata walioingia robo fainali klabu bingwa ni washindwa wa nchi zao?,mwambie katika robo walioingia abainishe ni timu zipi ni bingwa wa nchi na zipi ni washindwa
 
Ubora wa vilabu vilivyopo klabu bingwa ndio tofauti iliyopo hapo
Ubora upi wakati Bingwa wa Shirikisho amechukua Super Cup kwa miaka 2 mfululizo?Mwska 2022/23 USM alimfunga Al Ahly goli moja bila kwenye fainali ya Super Cup.
Mwaka 2023/24 Zamalek bingwa wa Shirikisho alimfunga Al Ahly Bingwa wa Champions League katika fainali ya Super Cup kwa penalti 6 kwa 5 .
Lete ushahidi wacha ngebe za Gongowazi.
Kutolewa kwa Yanga usitafute kichaka eti mna pointi 34 sasa hivi mmeporomoka mpaka pointi 24.
Kuhesabu na pointi ambazo "mngepata" ndio tatizo lenu.
Mlianza kusherekea kitu ambacho hamna mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…