Hata CS Constantine angewafunga tu kwani kama ulifungwa na USM Alger ambaye kwenye ligi yuko chini ya CS Constantine kwa nini huyu asikufunge.Ningependa mbumbumbu wanaoicheka Yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa wanitajie timu ambazo zingeweza kuipa Yanga hii changamoto yoyote Ile kwenye kombe ilo walilopo la washindi wa 3 na 4!
Nimemuondoa Zamalek kwakuwa ndio timu pekee ambayo ingeweza kupambana na Yanga kupimana ubavu but timu zote zilizobaki kwenye icho kikombe cha Asante Mosepe zilizoingia hatua ya makundi akuna ata Moja ingeweza kusimama mbele ya yanga hii mnayoibeza!
Hatua ya makundi klabu bingwa ni sawa na kucheza nusu fainali ya kombe la shirikisho iyo muiweke vichwani mwenu!
Nimewapa iyo home work kwakuwa timu zote nimeziona zinazocheza shirikisho ili kuingia robo fainali mnitajie ni timu Gani ingemsimamisha Yanga!
Ndio maana nawaambia ubora wa Klabu Bingwa na shirikisho ni mbingu na ardhi ni sawa na shabiki wa timu insyoshiriki daraja la nne kujilinganisha na timu inayocheza ligi kuu inakuwa ni kufurahisha genge tu ili siku ziende!
Na wengine wakishashiba viporo vya magimbi wakavimbiwa akili uwa zinahama wanaanza kuleta reference za ajabu ajabu,,
Mwenzako anakunja bilioni 1.9 kwa kuishia makundi nafasi ya tatu wewe iyo unaipata endapo tu utafika nusu fainali ya Asante Mosepe,,na bado unavua mpaka boksa eti umeongoza kundi la wagonjwa ni maajabu ya Musa!
Ilikuwa swala la kukwepa kupanda basi lenu na kuingia changing room wakati wa half time
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app