Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

Ningependa mbumbumbu wanaoicheka Yanga kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali klabu bingwa wanitajie timu ambazo zingeweza kuipa Yanga hii changamoto yoyote Ile kwenye kombe ilo walilopo la washindi wa 3 na 4!
 
Daaa nimecheka sana
 
Yanga bwana kweli akili hamna yaani nusu fainali mlicheza na team iliyoshuka daraja south Africa ndio mnajisifu sasa wale zalan fc na marumo gallant ni team kweli za kusema zimeipa team upinzani mlibahatika na bahati haiji mara mbili.
 
Makundi FC... mezeni Asprin Jr. ... Motsepe anasema inasaidia kupunguza maumivu ya kuondolewa makundi.
 
Mliwai kuongoza kipindi watu wako lockdown ya corona unajisifu,,njoo uongoze na sasa uku klabu bingwa kama ubavu unao,,unadhani uku Kuna wakina majimaji wa Algeria!
Unasemaje unadhani "uku" kama na wewe uko huko wakati umeshatolewa

Ni kama vile unasifia nyumba ya bosi wako au shule uliyosoma majengo yake
It doesn't matter

Simba aliongoza kundi kukiwa na lockdown
Sawa
Wewe wakati wa lockdown ulikuwa unaongoza nini?
 
Kama Zamalek ni bora kuzidi zingine mbona CAF hawajamaliza mashindano na kuwapa ubingwa?

Kila match ina namna yake.

Ubora wa timu hauna mahusiano na ushindi.

Pengine hiyo timu yako unayoona bora isingiweza kutoboa hata preliminary stage.
 
Kumbe wewe hujaelewa kwa nini watu wanaicheka yanga na ukitaka kujua nenda kaangalie clip za Ali kamwe akifurahia baada ya makundi ya club bingea kupangwa,, mmetolewa kipumbavu na timu za kawaida mbaya zaidi Simba hajawahi kutolewa makundi misimu 6 mfululizo,, sasa kuwa kubwa jinga kwenye kundi unataka usichekwe?? **** WEWE
 
kwani TP mazembe ya zamani ndio ya sasa, mbona umeweza kuifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…