Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kama vyote vinategemeana niambie hakuna timu yenye vyote na bado ikawa shirikisho?Vyote vinategemeana, bila ubora wa wachezaji uwezi kupanda kwenye rank na ndio maana ata wewe umeishia robo robo zaidi ya mara 4 ukawa wa 7 kwenye rank kwa kuwa uliangushwa na quality ya wachezaji lakini yanga aliyejipata ndani ya misimu 3 akascore fainali na robo klabu bingwa na sasa kaingia kwenye 10 Bora!
Na hakuna timu ambazo hazina vyote na bado ikashiriki Club Bingwa?