Mwalimu Mwakasege Hana elimu ya kutafsiri ndotoNdoto zimekuwa frastrurated kila mtu anatafiri anavojisikia na anavoona kwa mtizamo wake..NDOTO ZINATAFSIRIWA KWA KUFUATA NENO LA MUNGU ..Waislam wanafanya ivo na wakristo wanafanya ivo ndio maana akina mwalimu mwakasege wanafundisha haya Mambo kwa upana ili uweze kutumia biblia only kutafsiri ndoto hasa zile za mafumbo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio, ni ndugu zangu wa damu na wana sifa ulizotaja..Ni ndugu zako wa damu? Wana sifa nilizo zitaja?